Confirmed: Ni Simba SC vs Nkana Red devils

Leo Yanga amecheza "champions league " yao kule Sumbawanga mkoani Rukwa.
Matokeo ni kwamba kocha Zahere imebidi alie tena.
Wapenzi wa migongo wazi matokeo ngapi ngapi?
 
Mihogo mikavu imemkaba koo sio kwamba analia, jaman hata maji ya mtoni wapeni wanywe...
 
Sumbawanga United 2
Yanga 1
Yanga wanategemewa kugeuza matokeo katika mechi ya marudiano wiki ujao kwenye "champions League " yao.
Kocha amelia tena safari hii akisema uwanja mbovu umemliza.
 
Kwani tukipita apa tuna cheza tena? Au tuna ingia kwenye makundi
 
Nakumbuka mwaka 1994 kwenye michuano hii hii matokeo yalikuwa kama sikosei simba 2 Nkana 1 pale shamba la bibi, kule Lusaka Nkana 4 Simba 1. Simba Kali kabisa ya Mwameja, Deo mkuki,Aswile Godwin, Masatu George, Hussein Masha, Nteze John, Edward Chumila, Madaraka seleman,Duwa Said, Athuman China nk ikatolewa. Ngoja tusikilizie simba ya Manula na wenzake.
 
hata Manchester mbovu iliifunga arsenal 8. Kama Simba hii unaona so bora ndo itaenda kuitoa Nkana
 
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Embu tumia mfano huo huo kumzungumzia Hassan Kessy, Beki aliewahi kuichezea Simba na Yanga.
 
Nakumbuka mwaka 1994 kwenye michuano hii hii matokeo yalikuwa kama sikosei simba 2 Nkana 1 pale shamba la bibi, kule Lusaka Nkana 4 Simba 1. Simba Kali kabisa ya Mwameja, Deo mkuki,Aswile Godwin, Masatu George, Hussein Masha, Nteze John, Edward Chumila, Madaraka seleman,Duwa Said, Athuman China nk ikatolewa. Ngoja tusikilizie simba ya Manula na wenzake.
Usisahau pia kua Simba ilishafungwa na Mafulira Wonders 0-4 shamba la bibi ikaenda kuibamiza kwao Zambia goli 5-0. Hii ilikua ni mwaka 1979.
 
H
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Hata Mbabane mliwasifia hivyo hivyo.
 
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Wengemchukua Kessy, wewe utakua huna macho ya mpira.
 
We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Ngoja wenye chama wao waje Mkuu uone watakavyopovuka. Nimeongea hii kitu na mtu jana akabisha natamani angekuwa humu akaona ulichokiandika.

Huo ndio ukweli. Nakazia maneno yako Boss.
 
Nawaonea huruma sana Nkana na yanga pia maana hawa yanga huwa wanaumia sana mnyama akishinda. Wanunue kabisa painkiller za panadol au hata propofol.
Ha ha tena hapa, wa kuhurumiwa zaidi ni Yanga, bahati mzuri kwao, tunaanzi Away, ingekua tuna anzia hapa, wengejaa uwanjani kuwashangilia.

Ila sasa, ttutakopo cheza hapa hawatakuja uwanjani, kutokana na matokeo ya awali.
 
Nakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA

Kila la kheri chama kubwa Simba sc [emoji123][emoji123][emoji123]
Mmh. Mmh. Mmh. Mmh.

Siku ya kuja kutolewa kwenye hayo mashindano sioni cha kukuzuia kuzimia Sapta. Sababu una maneno.
 
Back
Top Bottom