CONFUSION: Yesu alikufa mwezi December akafufuka April ya Pasaka

jesus never existed,wamisri walikuwa wanaongelea jua,sun god(ra),waliamini jua lilikuwa linasimama kwa siku tatu kuanzia around tarehe 22 december hadi 25 december...siku ya tatu walikuwa wana sema mungu sun god (ambayo wazungu walibadilisha na kuita son god) amefufuka...uzushi wa yesu kufa na kufufuka ni copy and paste ya imani ya ancient egypt
 
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
Nashindwa kuamini kabisa kuwa wewe ni mkristu.
 
Mh nawe nawe Ungeuliza kwanza mtaani ndio ungeingiza huku.....Binafsi sio kama ni swali lililo sahihi pengine nisema umekosea kuuliza ama hufaham kabisa maandiko ya biblia..
 
yesu hakuwahi kuwepo,it is a made up story
Kweli kabisa, Yesu hakuwahi kuwapo, wala mungu hakuwahi kuwapo, wala mohamed wala dunia hii haipo ni story tu, hata wewe pia haupo ni ndoto tu. SHETANI PEKEE NDO YUPO ALOKUPA HIYO AKILI ULOKUWA NAYO.
 
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
Du,mtoa mada tuwekee vifungu kwanza. Au hata google tu kama unakasimu kenye uwezo. Nafikir shida ni kuelewa maandiko tu.
 
Kweli kabisa, Yesu hakuwahi kuwapo, wala mungu hakuwahi kuwapo, wala mohamed wala dunia hii haipo ni story tu, hata wewe pia haupo ni ndoto tu. SHETANI PEKEE NDO YUPO ALOKUPA HIYO AKILI ULOKUWA NAYO.
sasa mungu anahusiana nini na yesu na mohamed!!!!!!halafu little knowledge is so dangerous...wazungu wamekubrain wash na upo kwenye kifungo kizito sana,achana na habari ya biblia,ni uzushi walioutunga wazungu kutawala watu kama wewe
 
Pumbaf kabisa unawalaumu wazungu walokufanya ukavaa nguo na kukaa mbele ya kisimu chako cha mchina ukaandika huu utumbo nusu kilo bila hata ndizi.
 
your level of arguing is low beyond imagination,you are not qualified to sit and feast with this guru on the same table...please do not quote me anymore
 
Hahahaaaaaaa, umesalimu amri kijana. Weka mikono juu sasa.
 
Back
Top Bottom