CONFUSION: Yesu alikufa mwezi December akafufuka April ya Pasaka

CONFUSION: Yesu alikufa mwezi December akafufuka April ya Pasaka

Huwezi kuwa mkristu afu useme Yesu alikufa desemba... Sema tu ni mfuasi wa Muddy....
Mueleweshe kwa andiko linaloonesha Yesu alizaliwa lini na kufa lini, maana wapo wengi wasiojua hili na hudhani kuwa Yesu alizaliwa desemba (Christmas) na kufa April (pasaka) wakati hizo ni sherehe zilizokuwepo hata kabla Kristo hajazaliwa.
 
Nimeamini kweli wakristo wengi ni fuata upepo tu hawajui kabisa chimbuko la sherehe ya Dec25(krismas) wala hawajui chimbuko la Easter.Kwa vile tu jamaa wa Babel aliwaweza kwa kuchukua sherehe zake na kuzibatiza majina ya matukio makubwa ya kikristo.Na bahati mbaya akawambia wasisome biblia,basi kawamaliza. Shetani kweli yuko strategic hajali Miami, padri au pastor
 
Nakushauri uvisome vizuri hivyo vitabu kabla ya kuandika uzi. December 25 sio kwamba ndio alizaliwa?
Mkuu achana na wanywa viroba utaumiza kichwa bure
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Alaf mkuu kuna article mbalimbali ambazo zimeandikwa na wati Wa makanisa hiz sikukuu mbili pasaka na crissmas hazihusian na ukristo Bali zimetungwa na watu kwa niaba Yao mwenyewe na sio yesu wala din na yanayofanyika katika hizo sikukuu hayamuhusu yesu wala ukristo
 
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
="Differential Equations, post: 21152364, member: 405241"]Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.[/QUOTE]
Kijiti cha wapi hiki mkuu. Ninakitaka.
 
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
We sio mzima kabisa..christmas ni kuzaliwa kwa Yesu sio kufa..
 
Tarehe aliyozaliwa Yesu
Tarehe aliyokufa
Tarehe aliyofufuka
Tarehe aliyopaa

Hizi Tarehe zote hazifahamiki na sababu kubwa ilikuwa sisi wanadamu tusiabudu Tarehe
 
upo kinyume sana! Alizaliwa tarehe 25 mwez dec. alikufa kabla ya pasaka kufika lakin alifufuka siku ya pasaka. Pasaka ilikiepo ata kabla ya kuzaliwa YESU CHRISTO.
 
Naamini utakuwa umelishwa matango pori halafu ukaja spidi huku kupovuka,
Calm down
 
Pasaka ilikuepo tangu zaman
Baada ya yesu ikawa symbolic
Pasaka ni kipindi wayaudi wanakuwa free kutoka egypt
 
Mtu wa hivi hamna haja ya kurply unasoma mstar mmoja, unamsonyaa then unaendelea kufatilia uzi wa utata juu ya kifo cha J F Kennedy
 
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
Dec.25 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kufa kasome vitabu vya biblia usimezeshwe maneno!!!
 
Differential Equations, wakristo tunaadhimisha kuzaliwa kwa yesu mwez december na sio kufa. Kufa na kufufuka ni pasaka mara nyngne inaweza angukia hata mwez wa tatu sio lazma wa nne. Aliuliwa ijumaa ndio maana kunakuwaga na ijumaa kuu na kufufuka ni jumapil ndio pasaka yenyewe. Na hayo ni maadhimisho tu sio tarehe wala mwez alokufa.
Vizuri
 
Back
Top Bottom