Mueleweshe kwa andiko linaloonesha Yesu alizaliwa lini na kufa lini, maana wapo wengi wasiojua hili na hudhani kuwa Yesu alizaliwa desemba (Christmas) na kufa April (pasaka) wakati hizo ni sherehe zilizokuwepo hata kabla Kristo hajazaliwa.Huwezi kuwa mkristu afu useme Yesu alikufa desemba... Sema tu ni mfuasi wa Muddy....