Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

hao watoto nao washenz tu,game ya nyumban walkua wanacheza na jukwaa,wanapoteza nafasi,magol yanarud kipuuz
Hao watoto tuliwaharibu sisi wenyewe,saikolojia inasema,mtu mzima na akili zako ukianza kumsifia sana mtoto kupita kiasi,anavimba kichwa na anaanza kukudharau hata wewe mwenyewe.
 
Hao watoto tuliwaharibu sisi wenyewe,saikolojia inasema,mtu mzima na akili zako ukianza kumsifia sana mtoto kupita kiasi,anavimba kichwa na anaanza kukudharau hata wewe mwenyewe.
ulitaka watu wasishangilie!..wale wamefundshwa kutimiza majukum yao ma ktojal kelele iwe za kuzomewa au kushangliwa
 
ulitaka watu wasishangilie!..wale wamefundshwa kutimiza majukum yao ma ktojal kelele iwe za kuzomewa au kushangliwa
nadhan cha msingi ni kutowatelekeza hao watoto ni msaada katika michezo
 
Penye mpira pana matokeo ya aina tatu tumefungwa hatujafuzu moto uendelee sio pabaya walipofika juhudi zao tumeziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…