Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

hongera vijana
Wako imara kama uyo jamaa aliyepga salute kwa dp yako[emoji1] [emoji1] [emoji1] ..ril vijana wanahitaji pongezi hawa hata wakialikwa Magogoni house/dodoma bungeni ni haki yao
 
Mimi natoa utabiri wangu, kulingana na historia ya Taifa Tanzania kukosa nafasi mara kwa mara, Bingwa wa Michuano CAF U17 2017 SERENNGETI BOYS AKA TANNZANIA TUTABEBA UBINGWA.
 
Wamefungwa 1-0 wametolewa.
1475427726722.png
 
Huyu kashangilia kabla ya kipenga cha mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hongera kwa Serengeti Boyz kwa Kufuzu kwa Fainali za AFCON U-17
 
Back
Top Bottom