Congo Brazzaville mbona haisikiki?

Congo Brazzaville mbona haisikiki?

Sababu mojawapo ni Lugha wanazotumia na Lugha unayotumia wewe ni tofauti.

Kingine ni nchi ndgo haina kitu kinachoweza kufanya isikike sana.

DRC Congo ni nchi kubwa kwa eneo, ni majirani zetu, kiuchumi tunaingiliana nao
 
Zile guinea tatu tumezizoea hazituchanganyi kuzitofautisha. Hizi congo mbili zinatuchanganya kama hutaweka brazaville. Bora wabadilishe jina kama hawataki kuita zaire. DRC kidogo inaleta utofauti na hiyo congo brazaville.
 
Historia ya Congo Brazzaville (Jamhuri ya Congo) imezimwa na CONGO DRC na hii ni baada ya CONGO DRC kutumia jina hilo badala ya ZAIRE kuanzia mwaka 1997. Ndio maana wengi ukiwatajia CONGO, kinachokuja kichwani ni CONGO DRC. Congo Brazzaville ina historia maarufu km vile makundi ya muziki kama vile EXTRA MUSICA, LOKETO (akina Aurlus Mabele, Diblo Dibala, Jean Baron) etc. Wote hawa ni CONGO BRAZZAVILLE
 
Kuna Equatorial Guinea (Malabo), Guinea Conakry, Guinea Bissau. Halafu kuna Jamhurr ya Congo (Brazaville) na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (Kinshasa)
 
Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari?

Nielewesheni wakuu
Sababu mojawapo pia ni udogo wa nchi. Ni ndogo sana kulinganisha na CONGO DRC lkn wote walikuwa ni jamii moja. Uroho wa Rasilimali ndio ukapelekea makubaliano ya Belgium kumuachia kipande hiko kidogo cha Congo Brazzaville kwa UFARANSA baada ya Berlin Conference 1884-1885. Nchi hizi zinatenganishwa na mto Congo
 
Historia ya Congo Brazzaville (Jamhuri ya Congo) imezimwa na CONGO DRC na hii ni baada ya CONGO DRC kutumia jina hilo badala ya ZAIRE kuanzia mwaka 1997. Ndio maana wengi ukiwatajia CONGO, kinachokuja kichwani ni CONGO DRC. Congo Brazzaville ina historia maarufu km vile makundi ya muziki kama vile EXTRA MUSICA, LOKETO (akina Aurlus Mabele, Diblo Dibala, Jean Baron) etc. Wote hawa ni CONGO BRAZZAVILLE
Mkuu una kitu kuhusu hili ebu jazaia tunyama kidogo tujifunze zaidi.
 
Back
Top Bottom