katibu tawala
New Member
- Dec 28, 2024
- 2
- 4
Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari?
Nielewesheni wakuu
Nielewesheni wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje, google pia!Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari?
Nielewesheni wakuu
Bro umechanganya ya kina Bongo ni Gabon, Congo Brazzaville ni ya Denis Sasuo Nguesso anataka kufia madarakaniNi ya kina Bongo, ilivuma sana kwenye mapinduzi ya kijeshi yaliyoondoa familia ya Bongo kutawala.
Yuko madarakani tokea mwaka 1997Bro umechanganya ya kina Bongo ni Gabon, Congo Brazzaville ni ya Denis Sasuo Nguesso anataka kufia madarakani
Bongo Ali??? Sio wa GabonNi ya kina Bongo, ilivuma sana kwenye mapinduzi ya kijeshi yaliyoondoa familia ya Bongo kutawala.
Bongo ni Gabon.Ni ya kina Bongo, ilivuma sana kwenye mapinduzi ya kijeshi yaliyoondoa familia ya Bongo kutawala.
We sema umemisi machafuko...watu wana amani yao waachwe wawe kimya!.Mimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari?
Nielewesheni wakuu
Sababu mojawapo pia ni udogo wa nchi. Ni ndogo sana kulinganisha na CONGO DRC lkn wote walikuwa ni jamii moja. Uroho wa Rasilimali ndio ukapelekea makubaliano ya Belgium kumuachia kipande hiko kidogo cha Congo Brazzaville kwa UFARANSA baada ya Berlin Conference 1884-1885. Nchi hizi zinatenganishwa na mto CongoMimi bado nipo gizani naombeni kujua ni nin hasa unapozungumza kuna Congo DRC na Congo Brazzaville mbona siioni Brazaville kwenye duru za habari?
Nielewesheni wakuu
Mkuu una kitu kuhusu hili ebu jazaia tunyama kidogo tujifunze zaidi.Historia ya Congo Brazzaville (Jamhuri ya Congo) imezimwa na CONGO DRC na hii ni baada ya CONGO DRC kutumia jina hilo badala ya ZAIRE kuanzia mwaka 1997. Ndio maana wengi ukiwatajia CONGO, kinachokuja kichwani ni CONGO DRC. Congo Brazzaville ina historia maarufu km vile makundi ya muziki kama vile EXTRA MUSICA, LOKETO (akina Aurlus Mabele, Diblo Dibala, Jean Baron) etc. Wote hawa ni CONGO BRAZZAVILLE