balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nakumbuka,Belgium ilisamehewa kwani madini yote ya uranium yaliyotumika kutengeneza mabomu ya atomic yalitoka Congo ambalo lilikuwa koloni la Belgium.Mapatano alikuwa anasema mpiganaji mmoja juzi ni kwamba kwa kumuondoa Mobutu Rwanda itapewa North and South Kivu na Uganda itapewa Ituri..
Lakini kama watu wandaiana malipo kama hayo,it is something that can be estimated and calculated.
Nakumbuka wakati ule Tony Blair alipokuwa Waziri Mkuu siku moja ilitangazwa," Leo Uingereza imelipa installment ya mwisho ya deni lake kwa USA kwa msaada iliopata WW2"