Congo DR imetulia lakini bado haina maendeleo

Congo DR imetulia lakini bado haina maendeleo

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
DRC kwa kikubwa imetulia. Vita IPO sehemu chache sana lakini bado hakuna dalili za maendeleo.

Pamoja na utajili mkubwa wa rasilimali madini, ardhi, maji, DRC bado wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha. Watu wengi wanahisi DRC kuna Vita. Jibu ni hapana. Maeneo mengi DRC kumetulia kuanzia kipindi cha Joseph kabila.

Ukweli ni kwamba DRC wameshindwa maendeleo kwasababu ya elimu. Vita ni kisingiziyo tu. DRC hawajawekeza kwenye elimu.
 
Back
Top Bottom