Congo DR. Vilaza sana... Watachapwa leo mpaka wachakae....

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Sioni wanachocheza kiuhalisia.... Hamna team hapa. Huwa nashangaa wanavyoogopwa huku kwetu. Leo Morocco tunajipigia.
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
Wenzako wamepata kiwewe wanataka Morocco afungwe ili wajipe matumaini kuwa kwenye kundi point hazipishani sana hivyo Kisimkazi Stars bado wana nafasi.
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
Nyie mumfunge nani? Hizo ndoto za alinacha. Nyie labda mtafunga khanga tu.
 
Kwa standard ya Morocco ili wafungwe kwenye kundi letu Mungu aingilie kati ila si kwa uwezo wa hizi timu katika kundi letu.
 
Kufungwa kwao ndio furaha kwetu. Baadaye tunamchapa mzambia halafu moroko anawachapa wote tunatoka droo na Kongo tunasonga mbele
Na wewe una timu? Hapo hamna kitu aisee timu limecheza dakika 90 bila on target?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…