Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka juzi wamezuiwa hapo na kurudishwa nyuma, burundi atatia timu, obvious na tz,patanoga hapoWaasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
DiplomatsWanapelekwaje Rwanda wakati wacongo wanasema Rwanda ndio sababu ya vita?
Mji wa Kongo wenye amani ni Kalimie lakini labda waende kwa Ndege mabarabarq ya Kongo huwa hayapitiki kirahisi.Kwanini hao wanadiplomasia wasiende kinshansa au mji wowote wa Congo wenye amani
Si wanapewa na Rwanda. Ni muasi gani anaweza nunua Spike ATGM kutoka Israel, auziwe kama nani na sio state actor wala hawajaziiba Congo maana jeshi lao halijawahi zinunua, wala hawajazikamata kwenye vikosi vya SADC, wala EAC, wala UN maana hakuna.Kumbe Waasi wana hadi ATGMs ndio maana wanachoma hizo APCs
Basi hata hao SADC wakienda wasipokuwa makini kitakua ni kilio.kwa maana jiografia na uoto wa misitu eneo hilo unaruhusu watu kujificha na kupiga hizo ATGM kwa mbali na kuchoma Silaha zetu.Si wanapewa na Rwanda. Ni muasi gani anaweza nunua Spike ATGM kutoka Israel, auziwe kama nani na sio state actor wala hawajaziiba Congo maana jeshi lao hakijawahi zinunua, wala hawajazikamata kwenye vikosi vya SADC, wala EAC, wala UN maana hakuna.
Kati ya players wote hapo Mashariki ya DRC waliopo na waliowapi kuwepo, ambaye amewahi uziwa Spike ATGM ni Rwanda tu. Na zimetumika kushambulia armoured vehicle ya South Africa na kuua wanajeshiView attachment 3224102
Ni mbinu za jeshi kujipanga upya hakuna jipya apoKama wamekubali mazungumzo hakuna vita hapo
Vitani kuna kupiga na kupigwa. Haiwezekani M23 wapigwe tu bila wao kutoa resistance, ila mziki utakuja pale mshirika yeyote kwenye hiyo SADC atakaposema anajibu shambulizi la source ya hizo silaha.Basi hata hao SADC wakienda wasipokuwa makini kitakua ni kilio.kwa maana jiografia na uoto wa misitu eneo hilo unaruhusu watu kujificha na kupiga hizo ATGM kwa mbali na kuchoma Silaha zetu.
Mchezo wa kuigiza huu.., sijaona hata hiyo vita iliyopiganwa hadi wachukue hiyo Bukavu, labda kama wanapewa freepass. Hata panya road huchukui himaya yao kizembe hivi..Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Lakini sasa hata hizo apv drones zinatengezwa kwa kutumia 3D printers halafu inavungwa shape charge na inachoma kifaru cha mamilion na kama sikosei hao waasi teyari wanazo hizo.Vitani kuna kupiga na kupigwa. Haiwezekani M23 wapigwe tu bila wao kutoa resistance, ila mziki utakuja pale mshirika yeyote kwenye hiyo SADC atakaposema anajibu shambulizi la source ya hizo silaha.
South Africa walichukua fragments wakaipa UN ikapime ikaja na majibu. Sasa wakirudiwa huu mchezo wanapima wanapata justification. Wakabebe ndege zao kwao au missiles waanze kupiga ghala za silaha zinakotokea hizo ATGMs.
FPV drones pekee sio kikwazo kwa jeshi linalotaka kufanikisha majukumu yake. Unless wasiwepo wanajeshi wa kutosha au mission iwe haitiliwi mkazo.Lakini sasa hata hizo apv drones zinatengezwa kwa kutumia 3D printers halafu inavungwa shape charge na inachoma kifaru cha mamilion na kama sikosei hao waasi teyari wanazo hizo.
Zikitumika vizuri Demage yake sio ndogo tena kwa haya majeshi yetu ya Kiafrika.FPV drones pekee sio kikwazo kwa jeshi linalotaka kufanikisha majukumu yake. Unless wasiwepo wanajeshi wa kutosha au mission iwe haitiliwi mkazo.
Miaka 60 wameshindwa kijenga Barbara za kuunganisha mikoa, si heri watawaliwe na mkoloni mweusi awajengee walau barabaraMji wa Kongo wenye amani ni Kalimie lakini labda waende kwa Ndege mabarabarq ya Kongo huwa hayapitiki kirahisi.