Congo: Wanadiplomasia wameondolewa Bukavu wamepekwa Rwanda. Nadhani Bukavu kutawaka moto mda siyo mrefu

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1738603559577.jpg
    FB_IMG_1738603559577.jpg
    31.9 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1738603600291.jpg
    FB_IMG_1738603600291.jpg
    27.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738603609059.jpg
    FB_IMG_1738603609059.jpg
    102.2 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1738603613297.jpg
    FB_IMG_1738603613297.jpg
    89 KB · Views: 2
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Toka juzi wamezuiwa hapo na kurudishwa nyuma, burundi atatia timu, obvious na tz,patanoga hapo
 
Kama wamekubali mazungumzo hakuna vita hapo
 
Kumbe Waasi wana hadi ATGMs ndio maana wanachoma hizo APCs
Si wanapewa na Rwanda. Ni muasi gani anaweza nunua Spike ATGM kutoka Israel, auziwe kama nani na sio state actor wala hawajaziiba Congo maana jeshi lao halijawahi zinunua, wala hawajazikamata kwenye vikosi vya SADC, wala EAC, wala UN maana hakuna.

Kati ya players wote hapo Mashariki ya DRC waliopo na waliowahi kuwepo, ambaye amewahi uziwa Spike ATGM ni Rwanda tu. Na zimetumika kushambulia armoured vehicle ya South Africa na kuua wanajeshi
2853.jpg
 
Si wanapewa na Rwanda. Ni muasi gani anaweza nunua Spike ATGM kutoka Israel, auziwe kama nani na sio state actor wala hawajaziiba Congo maana jeshi lao hakijawahi zinunua, wala hawajazikamata kwenye vikosi vya SADC, wala EAC, wala UN maana hakuna.

Kati ya players wote hapo Mashariki ya DRC waliopo na waliowapi kuwepo, ambaye amewahi uziwa Spike ATGM ni Rwanda tu. Na zimetumika kushambulia armoured vehicle ya South Africa na kuua wanajeshiView attachment 3224102
Basi hata hao SADC wakienda wasipokuwa makini kitakua ni kilio.kwa maana jiografia na uoto wa misitu eneo hilo unaruhusu watu kujificha na kupiga hizo ATGM kwa mbali na kuchoma Silaha zetu.
 
Vitani kuna kupiga na kupigwa. Haiwezekani M23 wapigwe tu bila wao kutoa resistance, ila mziki utakuja pale mshirika yeyote kwenye hiyo SADC atakaposema anajibu shambulizi la source ya hizo silaha.

South Africa walichukua fragments wakaipa UN ikapime ikaja na majibu. Sasa wakirudiwa huu mchezo wanapima wanapata justification. Wakabebe ndege zao kwao au missiles waanze kupiga ghala za silaha zinakotokea hizo ATGMs.
 
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Mchezo wa kuigiza huu.., sijaona hata hiyo vita iliyopiganwa hadi wachukue hiyo Bukavu, labda kama wanapewa freepass. Hata panya road huchukui himaya yao kizembe hivi..
 
Vitani kuna kupiga na kupigwa. Haiwezekani M23 wapigwe tu bila wao kutoa resistance, ila mziki utakuja pale mshirika yeyote kwenye hiyo SADC atakaposema anajibu shambulizi la source ya hizo silaha.

South Africa walichukua fragments wakaipa UN ikapime ikaja na majibu. Sasa wakirudiwa huu mchezo wanapima wanapata justification. Wakabebe ndege zao kwao au missiles waanze kupiga ghala za silaha zinakotokea hizo ATGMs.
Lakini sasa hata hizo apv drones zinatengezwa kwa kutumia 3D printers halafu inavungwa shape charge na inachoma kifaru cha mamilion na kama sikosei hao waasi teyari wanazo hizo.
 
FPV drones pekee sio kikwazo kwa jeshi linalotaka kufanikisha majukumu yake. Unless wasiwepo wanajeshi wa kutosha au mission iwe haitiliwi mkazo.
 
Zikitumika vizuri Demage yake sio ndogo tena kwa haya majeshi yetu ya Kiafrika.
 
Back
Top Bottom