Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

sasa kma Una access hapa kwenye server Una Leta nn
 
Mafanikio ni malengo naye kalenga kwa kumshirikisha mchina hongera unaitwa suguuu unaitwa suguuuu sugu suguuuuuuuuu
 
Hivi Mbeya hakuna wakandarasi wa kujenga hiyo Hotel? tunategemea wabunge ndio waanze mfano wa kulinda ajila za ndani. mwenye maelezo zaidi anipatie.
Mbona serikali inatumia fedha za kodi kuwapa wachina wajenge barabara na majengo? Ndo kusema hao hawajali ajira za ndani?
 
Kwan unafikiri mkopo say wa 800m unapata bila kua na mali yenye dhamani kama hiyo au zaidi ya hiyo?
Siyo lazima uwe na mali ya kiasi hicho.. Unaweza ukawa na kiasi tu cha kuanzia kisha hiyo hotel ikawa dhamana.. Na hupewi yote mia nane.. Unapewa kidogokidogo kwa kiasi cha ujenzi ikiwa full hilo jengo linakuwa security.. Sijajua exactly case yake..
 
Wanachakachua sana na kuiba(wakandarasi wa Bongo)
 
Wacha tugonge golf na Vip wenzetu ni moto Sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…