Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

Kwa taarifa yako tu Sugu ni mwanangu kitambo tangu Mbeya day, nina access ya kumuuliza hili kwa mdomo, nimeandika hapa kuleta changamoto na kuchokonowa mada tu, hotel anayojenga Sugu ni kama Motel tu na siyo miradi mikubwa kama hiyo ya daraja la kigamboni ambapo ni sahihi kutoa kandarasi nje. usiniangalie kwa woga.
sasa kma Una access hapa kwenye server Una Leta nn
 
Mafanikio ni malengo naye kalenga kwa kumshirikisha mchina hongera unaitwa suguuu unaitwa suguuuu sugu suguuuuuuuuu
 
Hivi Mbeya hakuna wakandarasi wa kujenga hiyo Hotel? tunategemea wabunge ndio waanze mfano wa kulinda ajila za ndani. mwenye maelezo zaidi anipatie.
Mbona serikali inatumia fedha za kodi kuwapa wachina wajenge barabara na majengo? Ndo kusema hao hawajali ajira za ndani?
 
Kwan unafikiri mkopo say wa 800m unapata bila kua na mali yenye dhamani kama hiyo au zaidi ya hiyo?
Siyo lazima uwe na mali ya kiasi hicho.. Unaweza ukawa na kiasi tu cha kuanzia kisha hiyo hotel ikawa dhamana.. Na hupewi yote mia nane.. Unapewa kidogokidogo kwa kiasi cha ujenzi ikiwa full hilo jengo linakuwa security.. Sijajua exactly case yake..
 
You have point, hata kama wana viwango akikujengea jengo moja yeye anataka apate majengo mawili kwa pesa yako hiyohiyo, nimeona hata nyumba za mfuko fulani kandarasi wamepewa wachina kuzijenga, sijaelewa hawa wakandarasi wazawa material sijui wananunuwa dunia ipi?
Wanachakachua sana na kuiba(wakandarasi wa Bongo)
 
Back
Top Bottom