Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

Congrats Joseph Mbilinyi (Sugu).....

Kwan unafikiri mkopo say wa 800m unapata bila kua na mali yenye dhamani kama hiyo au zaidi ya hiyo?
wewe kweli ni mlungo dvs5.unaweza chukua pesa kupitia kwa wadhamini.back to school Dude.

swissme
 
Kwan unafikiri mkopo say wa 800m unapata bila kua na mali yenye dhamani kama hiyo au zaidi ya hiyo?
Kwenye mkopo hatuangalii dhamana bali wazo la biashara unayofanya kama litafanikisha kulipa mkopo na sio kukimbilia kuuza nyumba etc uliyoweka dhamana!
So usishangae ndg pengine validit ya Sugu kuwa granted huo mkopo ikawa imerelay kwenye makaratasi zaidi!
 
Toka enz
the za sugu moto chini mpaka Mh. Mbunge
Bado mi ni shabiby ako mkubwa
 
Ndio tulicho mtuma wananchi? Viongoz wetu wengi wanajiangalia wao siwezi kumpongeza nimafanikio yake not us kila siku najiuliza ni nani anaeweza kusimama badara ya kwetu(sisi) ili aisimamie haki na kupata tunachokiota? Sasa nimeamini ni mimi mwenyewe kwa mikono yangu na miguu ndasimama kujipigania viongozi wetu wamejawa na tamaaa pia kila kitu siasa
 
Ndio maana yake.
 
Kwan unafikiri mkopo say wa 800m unapata bila kua na mali yenye dhamani kama hiyo au zaidi ya hiyo?
eneo na kitakachojengwa ni dhama tosha,ndiyo maana imepewa kampuni kufanya ujenzi siyo pesa upewe uweke mfukoni halafu ulipe mafundi fake au uingize kwenye dili nyingine.
 
hili swala linahitaji kautafiti .. labda wakandarasi wa nyumbani hawana viwango....
Tatizo la hawa wa nyumbani linaeleweka akishavuta advance anaenda kula bats kwanza ndio aje aanze kazi,hapo lazima ajenge chini ya kiwango wengi tumewaona na majengo mengi yameanguka labda kama wamebadilika sasa
 
Sina uhakika
 
Back
Top Bottom