Congrats Uhuru

Congrats Uhuru

Hoja inabaki palepale. Taarifa yenyewe ndio hiyo hapo juu.
Tupo hapa tuna celebrate award za huyu jamaa wa hadithi miingi na kiingeza..Utakunywa gani leo mkuu?
1.jpg
 
Huwa sinywi pombe mimi. Ila he can drink, he is an adult, and he is the president of the republic of Kenya, C.In C, remind me, who are you again? [emoji23]
I am an Economist.. Sasa umesemaje na party huku imeshika? kama hunywi maji basi ka fegi hivi ama namna gani? 😀
 
Pombe (chang'aa) na bangi vyote anatumia kila siku.
Inategemea na kichwa chako kitakavoweza kustahimili.......
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Mbona mwenzake huyu akimaliza kubana matumizi kwenye juisi na pipi, stimu huwa zinampanda kichwani hadi anaanza kuwatusi wanainchi wake??? [emoji38][emoji38][emoji38]
 
I am an Economist.. Sasa umesemaje na party huku imeshika? kama hunywi maji basi ka fegi hivi ama namna gani? 😀
Here is that man you call your father and fellow noisemaker....People's President....[emoji23] search for him in the background, as usual! 😀
wpid-raila2bwho.jpg
 
Inategemea na kichwa chako kitakavoweza kustahimili.......
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Mbona mwenzake huyu akimaliza kubana matumizi kwenye juisi na pipi, stimu huwa zinampandwa kichwani hadi anaanza kuwatusi wanainchi wake??? [emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha kwani ni ukweli. Unajua hii picha nilikuwa naitafuta sana. Nilikuwa nataka tu kuiona . Jesus. Kuna watu miser hii dunia
 
Hahaha kwani ni ukweli. Unajua hii picha nilikuwa naitafuta sana. Nilikuwa nataka tu kuiona . Jesus. Kuna watu miser hii dunia
Huyo jamaa hapo ambaye ana wasiwasi mwingi amechukua pipi tatu, anaambiwa arudishe fasta fasta, eti ni moja moja pekee yake! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hahaha kwani ni ukweli. Unajua hii picha nilikuwa naitafuta sana. Nilikuwa nataka tu kuiona . Jesus. Kuna watu miser hii dunia
Huyo ndiye rais wa watu, anabana matumizi yasiyokua ya lazima ili ajenge SGR, best Hospitals in the region, biggest and modern airport, the only interchange in EA, biggest hydroelectric dam in EA and seven planes once by cash.
 
Zote mbili but as long as he keeps up the good work he can smoke and drink all he wants for all I care
Which good works while the economy is collapsing, nor food, nor water, corruption and insecurity are rising and National debt is uncontrollable?
 
Here is that man you call your father and fellow noisemaker....People's President....[emoji23] search for him in the background, as usual! 😀
wpid-raila2bwho.jpg
Mi naona slayqueen president hapo na bob call me more.. Party bado imeshika, utatumia sigara ndogo ama ile ingine kubwa?
 
Inategemea na kichwa chako kitakavoweza kustahimili.......
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Mbona mwenzake huyu akimaliza kubana matumizi kwenye juisi na pipi, stimu huwa zinampanda kichwani hadi anaanza kuwatusi wanainchi wake??? [emoji38][emoji38][emoji38]
Hii haiondoi ukweli kuwa Uhuru ni mvuta bangi.
 
Hii haiondoi ukweli kuwa Uhuru ni mvuta bangi.

Tatizo lako nini hasa, cha msingi yeye ndiye rais bora Africa kiutendaji, hayo mengine ni yake binafsi, anachovuta, anachokula au saa anayo gegeda michepuko yake haikuhusu
 
Back
Top Bottom