Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Labda bora huko Mathare.Tatizo lako nini hasa, cha msingi yeye ndiye rais bora Africa kiutendaji,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda bora huko Mathare.Tatizo lako nini hasa, cha msingi yeye ndiye rais bora Africa kiutendaji,...
ViPi maneno ya cash naona bado ujaacha😀😀😀Huyo ndiye rais wa watu, anabana matumizi yasiyokua ya lazima ili ajenge SGR, best Hospitals in the region, biggest and modern airport, the only interchange in EA, biggest hydroelectric dam in EA and seven planes once by cash.
Na bado, endeleeni kusikilizia maumivu kwa mbali, hatukopi sisi ni cash papo kwa papo, HAPA KAZI TU.ViPi maneno ya cash naona bado ujaacha😀😀😀
Tuzo hii ni ya rais bora kwa ujenzi wa miundo mbinu, pokea tafsiri maana kingereza kiliwakataa.Labda bora huko Mathare.
kuna wengine niliona wakiongea kuhusu bridge.....Hongera Uhuru Kenya!
Sasa kuna kipi cha ajabu hapo? TZ yetu tuna tunnel tangia miaka 70' huko wewe unaongelea 100m bridge 21st century?
![]()
![]()
bridge hizi hapa, sio upuuzi mnaosema ni bridge.TZ yetu kuna tunnels na bridges tangia 70' huko!
Kiingereza ndio nini. Mpango mzima ni Kiswahili wewe kibwengo. Tafuta lugha yako. Sio unajibaraguza na lugha za wazungu mpaka leo. Mpuuzi sana wewe.Tuzo hii ni ya rais bora kwa ujenzi wa miundo mbinu, pokea tafsiri maana kingereza kiliwakataa.
Ziiiiii....Uhuru oyee.
Limbukeni huyo wa wazungu, wapo radhi wanaume waolewe na wazungu jinsi wanavyowaogopa na kuwathamini, very primitive thinking inawafanya wakenya kuchinjana kwa kubaguana kwa kujilinganisha na wazungu.Kiingereza ndio nini. Mpango mzima ni Kiswahili wewe kibwengo. Tafuta lugha yako. Sio unajibaraguza na lugha za wazungu mpaka leo. Mpuuzi sana wewe.
Bado wako nyuma sana kwa kujitambua hawa jamaa.Limbukeni huyo wa wazungu, wapo radhi wanaume waolewe na wazungu jinsi wanavyowaogopa na kuwathamini, very primitive thinking inawafanya wakenya kuchinjana kwa kubaguana kwa kujilinganisha na wazungu.
Kiingereza ndio nini. Mpango mzima ni Kiswahili wewe kibwengo. Tafuta lugha yako. Sio unajibaraguza na lugha za wazungu mpaka leo. Mpuuzi sana wewe.
Itakuchukua muda mrefu sana kuzinduka. Pole.Haiwezekani ukakwepa Kingereza, haswa kwa nchi maskini kama yenu isiyo na viwanda wala miundo mbinu, mikataba yote ya madini na raslimali na sheria mumeandikiwa kwa kingereza na ndio maana mnaliwa kila siku nchi mumebaki mahandaki tupu.
Huwa mnajiliwaza eti hamtaki kingereza kisa Mchina hakiongei, mnasahau Mchina ameanza viwanda miaka zaidi ya 400 nyuma tena kwa kutumia lugha yake, nyie leo hii mnaagiza hadi sindano na tena maagizo na maelekezo ya kila bidhaa mnayoletewa imeandikwa kwa kingereza.
Malizeni umaskini kwanza mtoke kwa LDC ndio muanze kujifananisha na Warusi na Wachina watu ambao lugha zao zimetumika kwenye viwanda zaidi ya miaka 400, sio hiki Kiswahili kimeungwa ungwa juzi na mwarabu na Mbantu. Bora hata uongee Kisukuma au lugha yoyote ya asili ya Mwafrika, hapo nitakuona wa maana.
Well, do it fast. Why are keeping us waiting? 😀Hatujachoka, hata Moi tuling'oa baada ya miaka 24..Economic subbotage loading watch this space, I told you we dont use "maadamano" we are well connected