Congrats Uhuru

Huyo ndiye rais wa watu, anabana matumizi yasiyokua ya lazima ili ajenge SGR, best Hospitals in the region, biggest and modern airport, the only interchange in EA, biggest hydroelectric dam in EA and seven planes once by cash.
ViPi maneno ya cash naona bado ujaacha😀😀😀
 
Uhuru deserves deserves tano tena Tanzania akimaliza kipindi Kenya. Uhuru oyee.
 
Kiingereza ndio nini. Mpango mzima ni Kiswahili wewe kibwengo. Tafuta lugha yako. Sio unajibaraguza na lugha za wazungu mpaka leo. Mpuuzi sana wewe.
Limbukeni huyo wa wazungu, wapo radhi wanaume waolewe na wazungu jinsi wanavyowaogopa na kuwathamini, very primitive thinking inawafanya wakenya kuchinjana kwa kubaguana kwa kujilinganisha na wazungu.
 
Kiingereza ndio nini. Mpango mzima ni Kiswahili wewe kibwengo. Tafuta lugha yako. Sio unajibaraguza na lugha za wazungu mpaka leo. Mpuuzi sana wewe.

Haiwezekani ukakwepa Kingereza, haswa kwa nchi maskini kama yenu isiyo na viwanda wala miundo mbinu, mikataba yote ya madini na raslimali na sheria mumeandikiwa kwa kingereza na ndio maana mnaliwa kila siku nchi mumebaki mahandaki tupu.
Huwa mnajiliwaza eti hamtaki kingereza kisa Mchina hakiongei, mnasahau Mchina ameanza viwanda miaka zaidi ya 400 nyuma tena kwa kutumia lugha yake, nyie leo hii mnaagiza hadi sindano na tena maagizo na maelekezo ya kila bidhaa mnayoletewa imeandikwa kwa kingereza.
Malizeni umaskini kwanza mtoke kwa LDC ndio muanze kujifananisha na Warusi na Wachina watu ambao lugha zao zimetumika kwenye viwanda zaidi ya miaka 400, sio hiki Kiswahili kimeungwa ungwa juzi na mwarabu na Mbantu. Bora hata uongee Kisukuma au lugha yoyote ya asili ya Mwafrika, hapo nitakuona wa maana.
 
Itakuchukua muda mrefu sana kuzinduka. Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…