Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

Wameshinda ngapi? Timu za Uarabuni mwaka huu hawana maajabu. Nimesoma sehemu, Alta Solar ya Djibout nayo imewaduwaza Zamalek kwa kuwafunga goli 2-0!!

Na mabadiliko ya benchi la ufundi, nadhani pia yamezaa matunda. Babu Hans alikuwa anawalea kimayai sana wachezaji.
 
Kuuliza si ujinga, hawa Al-merrikh waliocheza na Yanga Jana nimeona leo pia wamecheza Confederatin. Hii imekaaje?
walikuwa na match ya friendly. I saw it yesterday too , I think its internal thing.

kuna other al merreikh not related to the one played with yanga. I think its a common Arabic name
 
Unataka kutuaminisha huu ujinga?
Yaani ajichotee pesa tu Gavana na Katibu mkuu wanamwangalia tu?
Usalama na takukuru wanamwangalia tu?
Kama unafuatilia huko duniani juna taharifa ya rushwa kwa viongozi wetu huko migodini jindi wanavyohongwa,waziri wa fedha anahongwa sana na wafanyabiashara wakubwa na hali peke yaje,anakula bs hao uliowataja,siku akitoka kwenye hiyo position timu inakufa
 
Back
Top Bottom