Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
AahaaaaaaMakolo tu ndo wameaibisha taifa
ScreenshotKuuliza si ujinga, hawa Al-merrikh waliocheza na Yanga Jana nimeona leo pia wamecheza Confederatin. Hii imekaaje?
Unataka kutuaminisha huu ujinga?Timu ya waziri wa maokoto unategemea nini,tozo zote zinawalea wachezaji
walikuwa na match ya friendly. I saw it yesterday too , I think its internal thing.Kuuliza si ujinga, hawa Al-merrikh waliocheza na Yanga Jana nimeona leo pia wamecheza Confederatin. Hii imekaaje?
Kama unafuatilia huko duniani juna taharifa ya rushwa kwa viongozi wetu huko migodini jindi wanavyohongwa,waziri wa fedha anahongwa sana na wafanyabiashara wakubwa na hali peke yaje,anakula bs hao uliowataja,siku akitoka kwenye hiyo position timu inakufaUnataka kutuaminisha huu ujinga?
Yaani ajichotee pesa tu Gavana na Katibu mkuu wanamwangalia tu?
Usalama na takukuru wanamwangalia tu?
Na ndugu yao Azam.Makolo tu ndo wameaibisha taifa