Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga tulifika Final
Hii hatua imewapa boost na itaongeza confidence sana . It was not easy!
Nilisema hamtopita, naomba kutengua Kauli Rasmi na mmeipa heshima nchi na viwango kupanda.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Sisi Yanga tuliushindwa mlima wa waaarabu…. Walijiangushaa weeee hadi mpira ukaisha
Samia, ulipe na magoli ya penalty pia , good fight
Dr Megalodon Mushi
Ottawa, Canada