cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Sijui mtaambia nn watu, hiyo siku. Lol
View attachment 3298132
Hii ndiyo haiwezekani
View attachment 3298132
Hii ndiyo haiwezekani
Mbna MC alger hukumchapa, sio kwao wala kwako.Kumbe Simba kazifunga taifa yanga yeye achagui anakuchapa kote kote iwe ugenini iwe nyumbani mambo ya kwa mkapa atoki mtu kwasababu za ulozi yamebaki kwa Simba tu
Stellenbosch anatupeleka fainaliView attachment 3298132
Hii ndiyo haiwezekani
Mnazi huyo...Hahaha, We jamaa bana, shabiki kweli kweli.
Mnazi kweli kweliMnazi huyo...
Majibu wanayo kichwani tayari mpaka ya mwaka kesho.🤣🤣 hawa huwezi kubishana nao. Hawezi kukosa jibu la kukupa
Na huyu kashachelewa hawezi pona tenaWee ukibanwa vizuri, utaropoka yote.
Bado hawajachelewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe naongelea hilo hilo kombe la wamama mliostaaafu...ni lini kombe la wamama mlcheza na mc Alger...mmedodaaaaaaaa mmedodaaaaaYale ni mashindano ya wanaume sio kikombe cha kahawa kile ukadhani kule Kuna timu za nyongeza kama nyanya mbovu kama uko mliko,,Mc alger sio Al masry Wale muwe na heshima,,unadhani mwamposa na waganga wenu mtaenda nao Kila mahali kitawalamba!
Mngekuwa na huo uwezo msingeshindwa kuvuka makundi kwenda robo kwenye kundi la vibonde mliokuwa nao kwenye kundi lenu . Ama kweli utopoloni wenye akili ni wawili tu ( sande Manara na rais mstaafu Kikwete)Usijifariji na Wala usidhani wewe ndio umeangalia na kufatilia timu zote zilizoko shirikisho,,kiufupi ni pipa na mfuniko na uyo Al masry aliyekutoa ulimi nje yanga alikuwa anambutua nje ndani kwa taarifa yako,,unaingia nusu dhidi ya timu mbovu kwa kutumia energy kubwa mara mwamposa mara waganga wa kienyeji na bado unasubilia juhudi za ndumba zikuvushe kwa mikwaju ya penalty hii ni aibu!
Kichaka kipyaMshaanza:
1. Mwamposa
2. Masheik
3. Ushirikina.
4. Fukuza Manager...
5.
6
97651
97652. Mazoezi.
usibishane na hao wazee wa misindano.Huyo ana mihemuko mpk anajiaibisha...
Kwa kweli, 😂😂😂😂😂Na huyu kashachelewa hawezi pona tena