Unapoongea usimtaje yanga kuwalinganisha na hao makolo,,njia ya yanga ni tofauti na njia ya Simba,,kule kwa yanga akuna timu dizaini ya Al masry,,kule kulikuwa na wanaume sio wavulana,,Mc alger usiwalinganishe na hao waarabu wa nzega,,yanga wangekutana na hao waarabu wa nzega wangepigwa nje ndani!Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga tulifika Final
Hii hatua imewapa boost na itaongeza confidence sana . It was not easy!
Nilisema hamtopita, naomba kutengua Kauli Rasmi na mmeipa heshima nchi na viwango kupanda.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Sisi Yanga tuliushindwa mlima wa waaarabuโฆ. Walijiangushaa weeee hadi mpira ukaisha
Samia, ulipe na magoli ya penalty pia , good fight
Dr Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Lakini SSC pia hizo si amezicheza sana ?Unapoongea usimtaje yanga kuwalinganisha na hao makolo,,njia ya yanga ni tofauti na njia ya Simba,,kule kwa yanga akuna timu dizaini ya Al masry,,kule kulikuwa na wanaume sio wavulana,,Mc alger usiwalinganishe na hao waarabu wa nzega,,yanga wangekutana na hao waarabu wa nzega wangepigwa nje ndani!
Wapewe maua yao kwa sasa ila wajue kufika fainali yaweza kuwa ndoto za mchana๐ฟLakini SSC pia hizo si amezicheza sana ?
Kati ya SSC na Yanga nani kacheza robo final nyingi ?
Tunatengua kauli rasmi "jangwani wenye akili ni watatu tuu,Mh Jakaya,Mzee Sunday Manara na Dr Megalodon Mushi".Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga tulifika Final
Hii hatua imewapa boost na itaongeza confidence sana . It was not easy!
Nilisema hamtopita, naomba kutengua Kauli Rasmi na mmeipa heshima nchi na viwango kupanda.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Sisi Yanga tuliushindwa mlima wa waaarabuโฆ. Walijiangushaa weeee hadi mpira ukaisha
Samia, ulipe na magoli ya penalty pia , good fight
Dr Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Hili nalo vipi??? Cr belouzidad sijui nimekosea jina kwa sasa ipo kwny mashindano gani??Unapoongea usimtaje yanga kuwalinganisha na hao makolo,,njia ya yanga ni tofauti na njia ya Simba,,kule kwa yanga akuna timu dizaini ya Al masry,,kule kulikuwa na wanaume sio wavulana,,Mc alger usiwalinganishe na hao waarabu wa nzega,,yanga wangekutana na hao waarabu wa nzega wangepigwa nje ndani!
Huyo ana mihemuko mpk anajiaibisha...Lakini SSC pia hizo si amezicheza sana ?
Kati ya SSC na Yanga nani kacheza robo final nyingi ?
Usijifariji na Wala usidhani wewe ndio umeangalia na kufatilia timu zote zilizoko shirikisho,,kiufupi ni pipa na mfuniko na uyo Al masry aliyekutoa ulimi nje yanga alikuwa anambutua nje ndani kwa taarifa yako,,unaingia nusu dhidi ya timu mbovu kwa kutumia energy kubwa mara mwamposa mara waganga wa kienyeji na bado unasubilia juhudi za ndumba zikuvushe kwa mikwaju ya penalty hii ni aibu!Hili nalo vipi??? Cr belouzidad sijui nimekosea jina kwa sasa ipo kwny mashindano gani??
Mlikutana vitimu vibovuu kwny hatua za awali...Marumo uliocheza nayo ikashuka daraja...uwe na akili acha mihemuko tunza energy kwa maisha yako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]Unapoongea usimtaje yanga kuwalinganisha na hao makolo,,njia ya yanga ni tofauti na njia ya Simba,,kule kwa yanga akuna timu dizaini ya Al masry,,kule kulikuwa na wanaume sio wavulana,,Mc alger usiwalinganishe na hao waarabu wa nzega,,yanga wangekutana na hao waarabu wa nzega wangepigwa nje ndani!
Mmeshindwa kupata hata on target moja kwny mashindano yenu uwanjawa nyumbani mkafurushwa kwa aibu...Usijifariji na Wala usidhani wewe ndio umeangalia na kufatilia timu zote zilizoko shirikisho,,kiufupi ni pipa na mfuniko na uyo Al masry aliyekutoa ulimi nje yanga alikuwa anambutua nje ndani kwa taarifa yako,,unaingia nusu dhidi ya timu mbovu kwa kutumia energy kubwa mara mwamposa mara waganga wa kienyeji na bado unasubilia juhudi za ndumba zikuvushe kwa mikwaju ya penalty hii ni aibu!
Yale ni mashindano ya wanaume sio kikombe cha kahawa kile ukadhani kule Kuna timu za nyongeza kama nyanya mbovu kama uko mliko,,Mc alger sio Al masry Wale muwe na heshima,,unadhani mwamposa na waganga wenu mtaenda nao Kila mahali kitawalamba!Mmeshindwa kupata hata on target moja kwny mashindano yenu uwanjawa nyumbani mkafurushwa kwa aibu...
Group lenu nyie ndo mlikua mdebwedo...unajisifia ujinga
Mikwaju ya penalty ndo mjue tulikua tunaifanyia kazi tangu kwny ligi...na hii itawatoa kwny derby mbavuu zenu...
Pole sana utalala leo kweli weyee au kulaa?maana umeumia kuliko waarabu wenyeweUsijifariji na Wala usidhani wewe ndio umeangalia na kufatilia timu zote zilizoko shirikisho,,kiufupi ni pipa na mfuniko na uyo Al masry aliyekutoa ulimi nje yanga alikuwa anambutua nje ndani kwa taarifa yako,,unaingia nusu dhidi ya timu mbovu kwa kutumia energy kubwa mara mwamposa mara waganga wa kienyeji na bado unasubilia juhudi za ndumba zikuvushe kwa mikwaju ya penalty hii ni aibu!
SSC kacheza mara ngap ? Hayo mashindano unayoyaita ya kiume ?Yale ni mashindano ya wanaume sio kikombe cha kahawa kile ukadhani kule Kuna timu za nyongeza kama nyanya mbovu kama uko mliko,,Mc alger sio Al masry Wale muwe na heshima,,unadhani mwamposa na waganga wenu mtaenda nao Kila mahali kitawalamba!
Kumbe Simba kazifunga taifa yanga yeye achagui anakuchapa kote kote iwe ugenini iwe nyumbani mambo ya kwa mkapa atoki mtu kwasababu za ulozi yamebaki kwa Simba tuSSC kacheza mara ngap ? Hayo mashindano unayoyaita ya kiume ?
Sisi Yanga na SSC nani kacheza mara nyingi, lets appreciate they had a good fight
Hizo team unazoziita za kiume SSC kazifunga zote hapo Taifa
Hahaha, We jamaa bana, shabiki kweli kweli.Kumbe Simba kazifunga taifa yanga yeye achagui anakuchapa kote kote iwe ugenini iwe nyumbani mambo ya kwa mkapa atoki mtu kwasababu za ulozi yamebaki kwa Simba tu
Kuukubali ukweli na kupongeza panapobidi ndio uungwana michezoni! Kwa niaba ya Tawi Langu la Simba hapa Jijini Mwanza Mimi kama Mwenyekiti wa Tawi nimezipokea pongezi! Ahsante sana!!Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga tulifika Final
Hii hatua imewapa boost na itaongeza confidence sana . It was not easy!
Nilisema hamtopita, naomba kutengua Kauli Rasmi na mmeipa heshima nchi na viwango kupanda.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Sisi Yanga tuliushindwa mlima wa waaarabuโฆ. Walijiangushaa weeee hadi mpira ukaisha
Samia, ulipe na magoli ya penalty pia , good fight
Dr Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Wee ukibanwa vizuri, utaropoka yote.Unapoongea usimtaje yanga kuwalinganisha na hao makolo,,njia ya yanga ni tofauti na njia ya Simba,,kule kwa yanga akuna timu dizaini ya Al masry,,kule kulikuwa na wanaume sio wavulana,,Mc alger usiwalinganishe na hao waarabu wa nzega,,yanga wangekutana na hao waarabu wa nzega wangepigwa nje ndani!