Congratulations SSC for the good fight, hili lilikuwa ni zimwi kwenu

Kumbe Simba kazifunga taifa yanga yeye achagui anakuchapa kote kote iwe ugenini iwe nyumbani mambo ya kwa mkapa atoki mtu kwasababu za ulozi yamebaki kwa Simba tu
Mbna MC alger hukumchapa, sio kwao wala kwako.
Wee umevurugwaa?! Poleee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yale ni mashindano ya wanaume sio kikombe cha kahawa kile ukadhani kule Kuna timu za nyongeza kama nyanya mbovu kama uko mliko,,Mc alger sio Al masry Wale muwe na heshima,,unadhani mwamposa na waganga wenu mtaenda nao Kila mahali kitawalamba!
Wewe naongelea hilo hilo kombe la wamama mliostaaafu...ni lini kombe la wamama mlcheza na mc Alger...mmedodaaaaaaaa mmedodaaaaa
Hayoooo ma loser yalitolewa kwny group stage hayooooo
Unajidai kombe la champion wkt umekaa zaidi ya miaka 20 bila kunusa hatua ya mtoano...simba kote huko tumezurura na tuneshafika robo 4 ww unazo ngapi...
Eti kombe la wanaume kwahyo mmetolewa nyie ni wanawake huko hamfai...
Na ilivyo aibu mgroup wenu woteee ouuttttt it means lilikua kundi dhaifu na uto ndo walikua dhohofu hali kuliko...
 
Mngekuwa na huo uwezo msingeshindwa kuvuka makundi kwenda robo kwenye kundi la vibonde mliokuwa nao kwenye kundi lenu . Ama kweli utopoloni wenye akili ni wawili tu ( sande Manara na rais mstaafu Kikwete)
 
Na ili kuthibitisha kwamba Yanga alikuwa kwenye kundi la vibonde na vibonde wenzake wenye afadhali.Kundi lao ndio kundi pekee walioshika nafasi ya kwanza Al Hilal na wa pili MC Alger wametolewa wote kwenye hatua ya robo fainali.
Yanga wameliletea aibu Taifa na kelele za kufyeka kichaka cha ranking hatuzisikii tena.Hawapo hata kwenye Top 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…