Njia rahisi ya kuwakomesha endapo watamvuruga ni kuruhusu mchakato wa katiba mpya kuendelea na kupatikana na pia kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi...kuruhusu free democratic movement...kuchunguza matumizi ya serikali ya awamu ya tano...kuwawajibisha wezi kama wapo...kutafuta suluhu za hoja za muungano na kukaa mezani na Zanzibar
Hakifanya haya CCM 2025 ni bye bye
Wajue tu kwa katiba iliyopo Rais wetu ana nguvu mno sio rahisi kuyumbishwa