Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
Mtt
Duuuh,hujui unachoongea.hujui system ya CCM inafanyaje kazi kumpata makamu wa Rais.
Katika hili siyo kwamba huna akili bali ni mbumbumbu mzungu wa reli. Kwa upumbavu wako wewe unadhani mama samia ataenda Kamati Kuu na kusema namtaka fulani basi wanapitisha tu.
Umetokea kijiji gani cha wajinga? Kaa tu kimya haya mambo huyajui. Tambua tu kila kundi Lina mtu wake na linataka apitishwe na kamati kuu awe makamu.
Ndiyo unaambiwa cartels ziko kazini. Ngoja niachane na wewe. Haya huwa ninajadili na watu wanalelewa.
[/Q mtt wa vidudu unampa nondo za secondary,huon kama unamu over dose?