Connect Dot: Nani anataka kumtisha Rais Samia na umaarufu wa Hayati Magufuli?

Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;

1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na coverage zikaongezeka sana, yani hadi waombolezaji waliozimia huku mikono ikiwa imeshikilia viroba vya vitoweo.

2. Kwamba msiba unafuatiliwa na watu karibu bilioni 4, sio kauli ya bahati mbaya, message ni kwamba huyu mtu ni mashuhuri sana na italazimika uenzi metendo yake(Offcorse nawateule wake) la sivyo wananchi wanyonge na dunia haitakuelewa.

3. Nyani wanafurahi kufa kwa Bwana shamba bila kujua kesho watakula wapi; hoja hapa wala sio wapinzani, ni kundi lisilofaidika na cheo kipindi Mzee akiwa hai, ndio limepigwa dongo, kwamba hata kama mnafurahi lakini hata hicho kidogo mlikipata kwa ubavu wake.

4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingine

5. Mimi ni Rais lakini mwenye maumbile ya mwanamke, ni kujibu vitisho kwa ujumla wake, lakini pia kuonesha kwamba akiamua anaweza kufanya hata kuzidi mtangulizi wake.

Turudi kwenye makundi ya CCM;

Kundi lililofaidi lakini lenye wasiwasi
Wamo kina Kabudi, Pole pole, Bashiru, Majaliwa na team tano tena 2020; hasa walioshinda bila kupingwa na kura za kwenye mabegi kama kule Kawe... hali yao ni ngumu kuliko maelezo.
Pia wamo waliomnanga JK vibaya mno akiwemo Madelu.

Kundi la waliotengwa licha ya uwezo wao na utendaji wao;
Wamo kina Muhongo, Januar, Nape na Kina Kimei.

Kundi la kuunga Juhudi mkono ;

Kina Covid 19, Katambi, Waitara , Silinde, Mollel na wengine, hawa hawajui nini mustakabali mama akitulia kwenye madaraka hivyo dawa ni kujiunga na kundi la kina Majaliwa.

Swali la msingi hapa; nani anataka kumtisha Rais Samia, au wanatumia umaarufu wa Hayati kutaka kumtisha asifanye lolote mambo yaende business as usual?
Kwahiyo mama hakuwa kwenye kundi lolote?
 
Ewala, well said my friend!!!!

Kuna kundi fulani hivi ambalo ni la hovyo sana lilikuwa chini ya Rais wetu marehemu, walikuwa wakijiona kwamba wao ni wao na hiki kikundi kilikuwa kinamharibiwa hata Mh. Rais.

Kweli kabisa, ili Mama Samia aongoze vizuri lazima hili kundi litokomezwe kabisa, otherwise itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kusimama.

Halafu inatakiwa pia watu waelewe kuwa Magufuli alikuwa binadamu kama wengine, alikuwa na mapungufu kibao ambayo si ajabu aliwaathiri badhi ya watu kwenye chama, Serikalini n.k pamoja na kuwa kuna mengi mazuri pia aliyafanya.

Kwahiyo ukizingatia kuwa group dynamics zipo, hata nae mama Samia atafuata njia yake sio lazima afuate kila kitu cha Magufuli.

Kwahiyo hebu tumpe uhuru Samia, na watu kwenye chama acheni kumtisha Mama Samia, acheni kuibomoa CCM jamani.
Hongera kwa uzi mzuri
 
Toka juzi mama samia hapokei simu yangu inawezekana ni kweli unachosema.
 
A post of the year!
Well said
IMG_20210324_040015_759.jpg
 
Na siyo hivyo tu.

Kama mvutano huu ni juu ya "Umakamu", si huyo atakuwa Makamu Rais, au atakuwa ndiye rais mwenyewe?

Au hata Uenyekiti watamnyang'anya mama?

Na hata wakimnyang'anya uwenyekiti, bado anaweza kuwavuruga na lichama lao hata wasijue wanakokwenda.

Sioni sababu yoyote ya kelele zote hizi.
Njia rahisi ya kuwakomesha endapo watamvuruga ni kuruhusu mchakato wa katiba mpya kuendelea na kupatikana na pia kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi...kuruhusu free democratic movement...kuchunguza matumizi ya serikali ya awamu ya tano...kuwawajibisha wezi kama wapo...kutafuta suluhu za hoja za muungano na kukaa mezani na Zanzibar

Hakifanya haya CCM 2025 ni bye bye

Wajue tu kwa katiba iliyopo Rais wetu ana nguvu mno sio rahisi kuyumbishwa
 
Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;

1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na coverage zikaongezeka sana, yani hadi waombolezaji waliozimia huku mikono ikiwa imeshikilia viroba vya vitoweo.

2. Kwamba msiba unafuatiliwa na watu karibu bilioni 4, sio kauli ya bahati mbaya, message ni kwamba huyu mtu ni mashuhuri sana na italazimika uenzi metendo yake(Offcorse nawateule wake) la sivyo wananchi wanyonge na dunia haitakuelewa.

3. Nyani wanafurahi kufa kwa Bwana shamba bila kujua kesho watakula wapi; hoja hapa wala sio wapinzani, ni kundi lisilofaidika na cheo kipindi Mzee akiwa hai, ndio limepigwa dongo, kwamba hata kama mnafurahi lakini hata hicho kidogo mlikipata kwa ubavu wake.

4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingine

5. Mimi ni Rais lakini mwenye maumbile ya mwanamke, ni kujibu vitisho kwa ujumla wake, lakini pia kuonesha kwamba akiamua anaweza kufanya hata kuzidi mtangulizi wake.

Turudi kwenye makundi ya CCM;

Kundi lililofaidi lakini lenye wasiwasi
Wamo kina Kabudi, Pole pole, Bashiru, Majaliwa na team tano tena 2020; hasa walioshinda bila kupingwa na kura za kwenye mabegi kama kule Kawe... hali yao ni ngumu kuliko maelezo.
Pia wamo waliomnanga JK vibaya mno akiwemo Madelu.

Kundi la waliotengwa licha ya uwezo wao na utendaji wao;
Wamo kina Muhongo, Januar, Nape na Kina Kimei.

Kundi la kuunga Juhudi mkono ;

Kina Covid 19, Katambi, Waitara , Silinde, Mollel na wengine, hawa hawajui nini mustakabali mama akitulia kwenye madaraka hivyo dawa ni kujiunga na kundi la kina Majaliwa.

Swali la msingi hapa; nani anataka kumtisha Rais Samia, au wanatumia umaarufu wa Hayati kutaka kumtisha asifanye lolote mambo yaende business as usual?
4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingine
 
CCM ni chama kikongwe cha kidola zaidi ambacho kina mfumo ulio imara katika kubadilishana madaraka ya uongozi wake wa kitaifa. Makada wake ktk kitu ambacho wanachokiogopa sana ni kuwa na migogoro ya ndani ambayo itapelekea kuhatarisha kukisambaratisha na hatimaye hata kuweza kuingia ktk "risk" ya kuwa chama cha upimzani.

Minyukano ya kikambi ipo ndani ili katika kujaribu kuweka mtu ambaye kambi fulani inampigania. Lakini jina la mteule likitoka tu, makundi ama kambi zilizoshindwa hufa kifo cha kawaida na kambi iliyoibuka mshindi huanza kupata "support" za aina zote za kidola, na hivyo basi kuwa na nguvu kubwa ndani ya chama na serikali.
 
Nilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France

Ni kwa nini anawatuhumu wale jamaa kwa nguvu kiasi kile?

Why those guys wameacha kuwatuhumu upinzani wanatuhumiana wao kwa wao!!
Sababu ndio hiyo! Wanagombea madaraka yasiwaponyoke baada ya kiongozi wao kufa
 
Ewala, well said my friend!!!!

Kuna kundi fulani hivi ambalo ni la hovyo sana lilikuwa chini ya Rais wetu marehemu, walikuwa wakijiona kwamba wao ni wao na hiki kikundi kilikuwa kinamharibiwa hata Mh. Rais.

Kweli kabisa, ili Mama Samia aongoze vizuri lazima hili kundi litokomezwe kabisa, otherwise itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kusimama.

Halafu inatakiwa pia watu waelewe kuwa Magufuli alikuwa binadamu kama wengine, alikuwa na mapungufu kibao ambayo si ajabu aliwaathiri badhi ya watu kwenye chama, Serikalini n.k pamoja na kuwa kuna mengi mazuri pia aliyafanya.

Kwahiyo ukizingatia kuwa group dynamics zipo, hata nae mama Samia atafuata njia yake sio lazima afuate kila kitu cha Magufuli.

Kwahiyo hebu tumpe uhuru Samia, na watu kwenye chama acheni kumtisha Mama Samia, acheni kuibomoa CCM jamani.
Yes hakuna mkamilifu tatizo kubwa la Magu alikuwa anaamini yy hakosei na ndio maana alikuwa akiongoza kwa style ya one man show! Ccm ni muhimu kuondoka mamlakani
kwa sasa haina jipya tena

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu huwa hata mkisoma hamuwezi kuelewa chochote. Hata wewe Ni mmojawapo.

Hujui kinachoendelea kutokana na uwepo wa Rais mpya. Uko ktk mazoea yale ya kibongo bongo, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kutafuta habari, kuupuza.
Watz wengi ni wajinga ndio maana wamebatizwa jina la wanyonge wangejua mtiti uliokuwepo mpaka mama Samia kutangaza Kifo akiwa Tanga wasingeongea ujinga so hao niwakuonea huruma tu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Eti naskia kuna kundi la wana CCM hawakutaka Mama aongoze nchi na wakawa wanataa kupindua katiba ila JWTZ likaingilia kati na haikutaka kuwepo ujinga!

Nimeskia tu vibarazani, sijui kama watu walikuwa wameshiba tu hawana stori ama vp
Unasikiliza taarifa za lile dubwasha? Hilo limeshakuwa pumbavu!!
 
Fanyeni siasa zenu ila kutajataja wasukuma muache please. Tafadhari sana mtailetea nchi matatizo.
Hakuna matatizo yoyote matatizo yalikuwepo wakati wa jiwe na angedelea kuwepo Hali ingekuwa mbaya zaidi kwakuwa kazima basi hamna madhara yoyote maana hamna chenu tena inabidi mtulie mupewe ukweli

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France

Ni kwa nini anawatuhumu wale jamaa kwa nguvu kiasi kile?

Why those guys wameacha kuwatuhumu upinzani wanatuhumiana wao kwa wao!!
....ni habari ya vyeo waliokuwa kwenye makwapa ya Magu walikuwa na nyodo sana maana kazi yao ilikuwa kumuabudu tu ilitosha sasa hivi kwa mama hawana hakika kama watakumbukwa! wanaona now ni zamu ya waliokuwa benchi so chakufanya wanamwaga Ugali na mboga

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo unataka kumtisha au unataka kucheza na akili zetu. Wamtishie nini na kwanini? Acha hizo tumalize msiba
wewe wasema kuna mtu anajiita veronica France amemtanda kigogo huko anaenda Mbali zaidi nakudai ni january nawenzie,,,, chakufanya usipanic kisome kitabu hiki taaratibu maana kina krasa nyingi sana
 
Nilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France

Ni kwa nini anawatuhumu wale jamaa kwa nguvu kiasi kile?

Why those guys wameacha kuwatuhumu upinzani wanatuhumiana wao kwa wao!!
Ukitaka Muua Mbwa, Mpe jina baya
 
Back
Top Bottom