Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Wakubwa na wadogo, Salutations!!
Nipo Iringa na katika harakati za kusaka ajira za hapa na pale (japo nimepata), juzi kama masihara nilielekezwa sehemu na nikapewa namba ya meneja, nikampigia.
Akaniuliza baadhi ya maswali ambapo sikuwa na vigezo wanavyohitaji wao Kisha akaniambia niende Ofisini kwao ili waone pia personality yangu kwa sababu Nina baadhi ya vigezo vinavyofanana na wanavyotaka wao.
Baada ya kwenda nikafanyiwa Interview kidogo halafu baada ya hapo wakanijulisha siku ya kwenda kuripoti/kuanza kazi rasmi.
Sasa wakuu, hiyo job naona sitakwenda kuifanya kwa sababu ninayo nyingine tayari.
Najua Kuna wimbi la vijana wenzangu wapo mitaani bila kazi yoyote (I feel you guys).. Hivyo nimeona nitumie nafasi hii kumuunganisha kijana yeyote hasa wa Iringa na maeneo ya jirani (na hata nje ya Iringa kama Kuna atakayeweza).
KAZI;- ULINZI
MSHAHARA;- 120,000/=
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane. ALAMSIK 🙏🙏