Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 21, 2021 #1 Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa. Napatikana Mipango Dodoma 0624008133 Natanguliza shukrani. Zanzibar-ASP
Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa. Napatikana Mipango Dodoma 0624008133 Natanguliza shukrani. Zanzibar-ASP
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jun 21, 2021 #2 Kila la kheri
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 21, 2021 Thread starter #3 Mwifwa said: Kila la kheri Click to expand... Asante mkuu
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Jun 21, 2021 #4 Wanakuja
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 21, 2021 Thread starter #5 Leonard Robert said: Wanakuja Click to expand... Ngoja niwasubiri mkuu
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jun 21, 2021 #6 Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati?
Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati?
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 21, 2021 Thread starter #7 Peril22 said: Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati? Click to expand... Kama nitapata mahali pa kufikia kwa muda wakati najipanga ,ninaweza kuja mkuu
Peril22 said: Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati? Click to expand... Kama nitapata mahali pa kufikia kwa muda wakati najipanga ,ninaweza kuja mkuu
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jun 22, 2021 #8 Kaluluma said: Kama nitapata mahali pa kufikia kwa muda wakati najipanga ,ninaweza kuja mkuu Click to expand... Okay.
Kaluluma said: Kama nitapata mahali pa kufikia kwa muda wakati najipanga ,ninaweza kuja mkuu Click to expand... Okay.
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 22, 2021 Thread starter #9 Peril22 said: Okay. Click to expand... Vipi mkuu,nafasi ipo?
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jun 22, 2021 #10 Kaluluma said: Vipi mkuu,nafasi ipo? Click to expand... Tutajuzana mkuu usiwe na shaka.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Jun 22, 2021 #11 Pambana kamanda, maisha sio lelemama.
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 22, 2021 Thread starter #12 Peril22 said: Tutajuzana mkuu usiwe na shaka. Click to expand... Sawasawa mkuu
Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 468 Reaction score 619 Jun 22, 2021 Thread starter #13 Fall Army Worm said: Pambana kamanda, maisha sio lelemama. Click to expand... Kabisa mkuu