Connection ya bodaboda Dodoma

Connection ya bodaboda Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena

Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa.

Napatikana Mipango Dodoma

0624008133
Natanguliza shukrani.

Zanzibar-ASP
 
Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati?
 
Kwa mfano akapatikana mtu anahitaji mtu wa aina yako ila yupo mkoa tofauti na wako, tunachekecha vipi hapo kati?
Kama nitapata mahali pa kufikia kwa muda wakati najipanga ,ninaweza kuja mkuu
 
Back
Top Bottom