Z zedpinky New Member Joined Jun 2, 2026 Posts 4 Reaction score 3 Jun 6, 2026 #1 Habari ndugu wa Tanzania, Natafuta kazi za MEL kwenye hizi ng'os hata local nikipata sawa ntashukuru. Nimejaribu kuomba tokea mwezi January lakini naona kimya😫. Nimesomea takwimu. Ni mwanamke
Habari ndugu wa Tanzania, Natafuta kazi za MEL kwenye hizi ng'os hata local nikipata sawa ntashukuru. Nimejaribu kuomba tokea mwezi January lakini naona kimya😫. Nimesomea takwimu. Ni mwanamke
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,818 Reaction score 8,451 Jun 6, 2026 #2 Mungu akusaidie upate umejaribu Taesa ili upate sehemu ya internship.
Z zedpinky New Member Joined Jun 2, 2026 Posts 4 Reaction score 3 Jun 7, 2026 Thread starter #3 Soulja boy said: Mungu akusaidie upate umejaribu Taesa ili upate sehemu ya internship. Click to expand... Nashukuru kunijibu... nimelishafanya internship za taesa
Soulja boy said: Mungu akusaidie upate umejaribu Taesa ili upate sehemu ya internship. Click to expand... Nashukuru kunijibu... nimelishafanya internship za taesa
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Jun 7, 2026 #4 All the best
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Jun 7, 2026 #5 Pole sana mama utapata tu
Z zedpinky New Member Joined Jun 2, 2026 Posts 4 Reaction score 3 Jun 7, 2026 Thread starter #6 Seran said: Pole sana mama utapata tu Click to expand... Thanks🙏🏽🙏🏽