hungary Member Joined Jan 20, 2025 Posts 61 Reaction score 90 Apr 4, 2025 #1 Habari wakuu Wenye connection ya kupata wateja au soko la dagaa wa kavu na wakukaanga dar
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Apr 6, 2025 #2 hungary said: Habari wakuu Wenye connection ya kupata wateja au soko la dagaa wa kavu na wakukaanga dar Click to expand... Tangazo lako halieleweki. 1. Unataka kufungua goli dar? 2. Unataka watu wa kuwauzia dar kutoka mwanza?
hungary said: Habari wakuu Wenye connection ya kupata wateja au soko la dagaa wa kavu na wakukaanga dar Click to expand... Tangazo lako halieleweki. 1. Unataka kufungua goli dar? 2. Unataka watu wa kuwauzia dar kutoka mwanza?
hungary Member Joined Jan 20, 2025 Posts 61 Reaction score 90 Apr 7, 2025 Thread starter #3 Watu wa kuwauzia dagaa wa kutoka mwanza kwa hapa dar
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Apr 7, 2025 #4 Mmmh
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,871 Reaction score 7,347 Apr 7, 2025 #5 Zunguka masokoni tafuta wateja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 7, 2025 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
mwampi Senior Member Joined Jul 7, 2023 Posts 161 Reaction score 353 Apr 7, 2025 #7 kiufupi hujaeleweka unacho taka nini.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Apr 8, 2025 #8 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Kila la kheri kwake