Connection ya soko la mpunga

Connection ya soko la mpunga

Kama uliununua bei juu ulipigwa, mpunga hauzidi 70k kwa gunia la debe 7 (standard) maeneo hayo.
 
Bei ya mchele/mpunga????


Kama mpunga, bei yako iko juu.

Gunia moja ukoboe upate kilo 100?
Maana kilo moja huku ni TZS 1,025/= mashineni, Ili upate faida?
Na mpunga gunia moja huwezi pata kilo 100.

Kuna "makandokando"
 
Back
Top Bottom