Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hahaha....jamaa anakimbiza Sana Bei.Weka bei halali watu wafanye biashara wacha janja janja dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha....jamaa anakimbiza Sana Bei.Weka bei halali watu wafanye biashara wacha janja janja dogo.
Gunia la mpunga elfu 30??Hapo Nzega nanunua 30k mpunga na bado napigiwa simu kuna gunia mia 200 tayari.
Wewe unauza elfu ngapi? Kama unanunua zaidi ya 54k Basi unapigwa.Gunia la mpunga elfu 30??
#MaendeleoHayanaChama
Mpunga bado haujawa mchele mpaka ukoboleweweka picha ya huo mchele.
vipi grade zake zikoje?
kuna mchele ule super, ambao haujakatika
kuna ule umekatika
kuna chenga.