Connection ya soko la mpunga

Connection ya soko la mpunga

Mr SGR

Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
60
Reaction score
38
Wakuu nina gunia 500 za mpunga uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
 
weka picha ya huo mchele.

vipi grade zake zikoje?

kuna mchele ule super, ambao haujakatika

kuna ule umekatika

kuna chenga.
 
Halafu pia Mwanza wanauza kwa kilo mpaka elfu 1.

Hui wako nikianza nao jumlisha gharama za usafiri nitauzaje?
 
Wakuu nina gunia 500 za mchele uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
Halafu kichwa cha uzi/habari hakipaswi kuwa mpunga.

ndani umeandika mchele, omba moderators wakubadilishie
 
Wakuu nina gunia 500 za mchele uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
Gunia ina kilo ngapi?
 
weka picha ya huo mchele.

vipi grade zake zikoje?

kuna mchele ule super, ambao haujakatika

kuna ule umekatika

kuna chenga.
Nimesema ni mpunga means haujakobolewa mara baada ya kujiridhisha na mnunuzi ntaukoboa
 
Nimesema ni mpunga means haujakobolewa mara baada ya kujiridhisha na mnunuzi ntaukoboa
Mkuu mbona mbishi sana aisee. Ume edit uzi halafu unaanza porojo.

unaharibu biashara yako mwenyewe.

ona hapa nilipozungushia, nilisha ku quote mapema sana.
Screenshot_20211023-143316.png
 
Hapo Nzega nanunua 30k mpunga na bado napigiwa simu kuna gunia mia 200 tayari.
 
Back
Top Bottom