No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Kwakweli sina ngoja nijichange nikakateunayo passport...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli sina ngoja nijichange nikakateunayo passport...?
tafuta kwanza passport kwenda nje sio dili kama upo dar es salaam... haswa hizi nchi za kiarabu ni very easy sana...!Kwakweli sina ngoja nijichange nikakate
Passport mm nnayo,, upande wa nauli upoje na kazi zipi zinazopatikana sana huko ungeziorodheshatafuta kwanza passport kwenda nje sio dili kama upo dar es salaam... haswa hizi nchi za kiarabu ni very easy sana...!
kazi zipo kutokana na elimu yako... ama kutokana na uhitaji wa kipindi usika...Passport mm nnayo,, upande wa nauli upoje na kazi zipi zinazopatikana sana huko ungeziorodhesha
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri.
Kipindi chote nilicho fanya kazi kwenye makampuni ya hapa nyumbani hali yangu KIUCHUMI ilikuwa mbaya sana nafanya kazi lakini pesa haikai kabisa. niliandika Uzi Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni
Niliwahi kuomba kazi ya taaluma yangu niliyo somea kwenye ajira zinazo tangazwaga na serikali Lakini sikuwahi kubahatika kwakifupi nimetafuta ajira serikalini zaidi ya miaka 15 bila mafanikio.
Nakumbuka nimepata marafiki ambao wamekuwa kama ndugu kupitia andiko langu la kusaidia walio kwama kwenye tovuti ya maombi ya ajira za afya na ualimu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira bila mafanikio ndipo niliamua kuanza kukusanya taarifa juu ya nchi walau zenye fursa za ajira zenye malipo walau mazuri. kwa msisitizo zaidi niliandikaga bandiko hili
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Kupitia bandiko hilo nilipata mwanga wa jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi yetu.
Vitu vya kuzingatia kwa mnao taka kusafiri kwa minajiri ya kutafuta maisha nje ya mipaka yetu.
1. Passport hii ni nyezo muhimu sana kwa kila Raia uwe unatafuta ajira au hutafuti kwa kifupi passport ni kitambulisho muhimu sana ambacho unatakiwa kuwa nacho kama ilivyo nida...!
2. AGENTS kwa nchi zetu za kiafrika kama huna pesa au hutoki kwenye familia zinazo jimudu kifedha. huwezi kwenda nje bila kuwa na agent atakae fanikisha safari yako. hapa kwenye ma_agent kuna changa moto kubwa sana. kwa kifupi umakini una hitajika sana kwani baadhi ya maargent sio waaminifu wanaweza wakakupiga pesa na usisafiri au ukasafiri ila ukakutana na hali tofauti huko uendako tofauti na ulivyo ambiwa.
3. AFYA. ikiwa una lengo la kwenda nje hakikisha Afya yako unailinda kwa hali na mali kwani mchi za wenzetu ukiwa na maradhi haswa ya kuambukiza hutopata nafasi ya Visa. hivyo ichunge sana Afya yako kabla hujapewa appointment ya kuhojiwa kuhusu Maombi yako ya VISA nilazima upeleke fomu maalum iliyo jazwa na doctor kuhusu afya yako. na hospital watakazo kwambia uende ni zile genuinely ambazo huwezi kuhonga ili wapindishe taarifa.
4. KUSHITAKIWA/UHARIFU unatakiwa pia ujiepushe sana na uaharifu wowote utakaosababisha utiwe hatiani. kwani ni lazima pia itahitajika upeleke police clearance forms. Hayo ni kwa uchache ninazo connection za ajira kwa nchi za QATAR, DUBAI, UARABUNI yote kwa ujumla.
Unachotakiwa kuwa nacho ni passport na ujuzi wa ziada kama Ufundi, udereva ama fani za ualimu, upishi, udokta, uuguzi n.k Nitakuwa naweka hapa fursa hizo kila zitakapo jitokeza.
N.B
Connection hii siitoi bure, gharama za awali kabisa za kupewa maelekezo ni shilingi 50,000/=
Nafanya hivyo kutokana na kuwa kuna watu ambao awapo seriously kwenye maswala ya msingi. hivyo kama mtu aki weza kulipia nitamconsider kuwa yupo seriously na nitamuongeza kwenye group la Whatsapp kwa ajili ya update ya hizo nafasi.
Mimi mwenyewe nilihangaika kwa gharama kubwa sana hadi kupata hizi connection.
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
Unachotaka kufanya nikuibia watu kisomi[emoji2][emoji2]
Elf50 then what next??
Mkuu hakuna sehem niliyosema wewe mwizi..Rudia kusoma vzr..hayo maarifa ndio nitakayo wapa kwa kulipia hiyo 50k...! ukiita wizi utakuwa umenikosea tujifunze kugharamika... tusipende vitu vya bure...!
Mkuu hakuna sehem niliyosema wewe mwizi..Rudia kusoma vzr..
Maarifa kwa 50k?
Pia napata waswas kwa maana umeeleza vtu na umekiri kwamba umeteseka kutafta kaz kwa mda mrefu na hujasema Kama ulshapata nafas ya kufanya kaz
Kaz za ulinzi ulkuwa ukipata hela ndogo bdye ukapata connection za Uarabuni..
Kama ulkuwa ukpata pesa ndogo na ukapata connection ya Uarabuni kwann ukabaki Dar es Salam??
Ili hali una connection ya kwenda huko.
NahitajiMimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.
Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1😛assport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo
Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji
NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
Nahitaji kazi ya usafikazi zipo kutokana na elimu yako... ama kutokana na uhitaji wa kipindi usika...
UDEREVA...
ULINZI...
UFUNDI...
UPAKAJI RANGI NYUMBA.
UFUNDI AC
UFUNDI UMEME..
SAIDIA FUNDI na
KAZI ZA USAFI...!
kwa hivi sasa zipo nafasi za USAFI, FUNDI UMEME pamoja na FUNDI AC... wenye vyeti
Nahitaji kazi ya usafi
Mzee baba hata kama ni consultation fee, higo 50k ni kubwa sana kwa watu waliopigika wasio na mwanga wa namna ya kutoka...
Sijasoma uzi ila jana nilimsikiliza balozi wa tanzania uingereza alisema watanzania bado tuko nyuma kwenye fursa za kimataifa .
Na hata waliozipata wengi wao ni watu wazembe wazembe wavivu
Kumbe kazi zenyewe zinatoka kampuni ya sasy, nimefanya interview lakini sijapatanafasi za kazi Dereva wa kike
hizi za ufundi zilizotoka hivi karibuni...?Kumbe kazi zenyewe zinatoka kampuni ya sasy, nimefanya interview lakini sijapata
Niliomba labour lakini watu waliokuwa wengihizi za ufundi zilizotoka hivi karibuni...?
kama ni hizo na una uhakika hukubabaika kwenye kujieleza bado... watu wanapigiwa simu...!
kuna za USAFI unaweza pia ukaomba...!Niliomba labour lakini watu waliokuwa wengi