X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #41
yap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap
Habari unaweza nicheki wasap 0747940315Mimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.
Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1😛assport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo
Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji
NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
Hii bado interviewkuna za USAFI unaweza pia ukaomba...! View attachment 2906625
Jamaa anatoa mwongozo mzuri wa kazi na siyo tapeli, mungu azidi kukubariki boss mleta mada.
bado...!Hii bado interview
Pamoja kiongozi.shukrani sana... wachache ni waelewa ila... kutokana na mtandao kuingiliwa na majangili yeyote anaonekana ni wale wale tu🤣🤣🤣
Mkuu Hizi habari za manyanyaso nchi za kiarabu ni kweli au ??hiyo ni changamoto kubwa sana haswa ukizingatia kuwa kuna upigaji sana... wapo watu wana jidai kuwa wanaweza kumsaidia mtu kusafiri at the end wanamtapeli hilo lilichangia sana watu kuogopa kutafuta fursa.
video zinazo rushwa za watu wanao dai wana nyanyaswa pia ni chanzo kikubwa cha watu kuogopa safari.
hata humu tu ukisema habari sijui za uarabuni lazima zipatikane feedback mbaya...!
Hapo kwenye gharama za maelekezo ni shilingi 50k ndio tatizo. Weka hata elfu 10kwasasa zinapatikana nchini QATAR... nitumie mawasiliano yako... gharama za maelekezo ni shilingi 50k.
Mkuu Hizi habari za manyanyaso nchi za kiarabu ni kweli au ??
Nimekuelewa vzr mkuu.sio kweli.... wanao lala Mika kunyanyaswa kuna kitu huwa wanakorofisha ndio maana yana wakuta.... ila nchi za kiarabu ni nchi zenye kufuata sheria na itikadi kali ukienda na utanzania...
ukaendekeza uvivu na kutokufuata taratibu lazima utawaona wana roho mbaya. kwa kifupi mtu analipia huduma ili apate matokeo mazuri.
huu mchakato wa ajira warabu huwa wanagharamia pesa kwa asilimi 100 ili wapate mfanyakazi mzuri.
na cha kujiuliza kwanini wanao lalamika kunyanyaswa wengi ni wanawake... je hakuna wanaume wanaoenda...?
Hapo kwenye gharama za maelekezo ni shilingi 50k ndio tatizo. Weka hata elfu 10
Wakuu hivi passport inagharimu kiasi gani??
Kwa nchi za waarabu hapana.unayo passport...?
Kwa nchi za waarabu hapana.
Ingekuwa UK, USA au Canada ningekutafuta.
au unaweza kunipigia 0saba5tisa170794Kwa nchi za waarabu hapana.
Ingekuwa UK, USA au Canada ningekutafuta.
Sasa wewe nae kamba nyingi yaani mtu ana millioni 15 na asubiri bahati nasibu kuingia USA mbona hiyo hela mtu anaenda bila shida yyte muhimu akidhi vigezo tu.hutopata hizi nchi unazo taka... kama huna pesa... andaa 15m... kama unayo weka benk kisha cheza bahati nasibu ya GREEN CARD LOTTERY... inayochezeshwa kila mwisho wa mwezi wa 9 kila mwaka...
ikibahatika kushinda hiyo 15m itakusaidia kukufikisha Marekani kama unavyotaka...
mchakato wa kwenda marekani sio kitoto...!
Sasa wewe nae kamba nyingi yaani mtu ana millioni 15 na asubiri bahati nasibu kuingia USA mbona hiyo hela mtu anaenda bila shida yyte muhimu akidhi vigezo tu.