Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Passport mm nnayo,, upande wa nauli upoje na kazi zipi zinazopatikana sana huko ungeziorodhesha
kazi zipo kutokana na elimu yako... ama kutokana na uhitaji wa kipindi usika...

UDEREVA...

ULINZI...

UFUNDI...

UPAKAJI RANGI NYUMBA.

UFUNDI AC

UFUNDI UMEME..


SAIDIA FUNDI na

KAZI ZA USAFI...!

kwa hivi sasa zipo nafasi za USAFI, FUNDI UMEME pamoja na FUNDI AC... wenye vyeti
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
Unachotaka kufanya nikuibia watu kisomi[emoji2][emoji2]

Elf50 then what next??
 
hayo maarifa ndio nitakayo wapa kwa kulipia hiyo 50k...! ukiita wizi utakuwa umenikosea tujifunze kugharamika... tusipende vitu vya bure...!​
Mkuu hakuna sehem niliyosema wewe mwizi..Rudia kusoma vzr..

Maarifa kwa 50k?

Pia napata waswas kwa maana umeeleza vtu na umekiri kwamba umeteseka kutafta kaz kwa mda mrefu na hujasema Kama ulshapata nafas ya kufanya kaz

Kaz za ulinzi ulkuwa ukipata hela ndogo bdye ukapata connection za Uarabuni..

Kama ulkuwa ukpata pesa ndogo na ukapata connection ya Uarabuni kwann ukabaki Dar es Salam??

Ili hali una connection ya kwenda huko.
 
kwa hivi sasa ninaendesha piki piki kwa huduma za kimtandao uzi wake huo hapo unaweza ukaenda kunisoma vizuri ukanielewa hivyo sio kwamba nitaishi kwa kutegemea mtu anilipe...Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

harafu kwangu UTU ni bora kuliko pesa wapo watu hivi ninavyo kwambia nina chat nao inbox na nina waelewesha... bila malipo yoyote. iko kiwango nimekiweka ili kufidia muda wangu nitakao utumia kumuelewesha atakae hitaji... ila sio kwamba sijimudu...!

hata hivyo sio lazima...!​
 
Nahitaji
 
Sijasoma uzi ila jana nilimsikiliza balozi wa tanzania uingereza alisema watanzania bado tuko nyuma kwenye fursa za kimataifa .

Na hata waliozipata wengi wao ni watu wazembe wazembe wavivu
hiyo ni changamoto kubwa sana haswa ukizingatia kuwa kuna upigaji sana... wapo watu wana jidai kuwa wanaweza kumsaidia mtu kusafiri at the end wanamtapeli hilo lilichangia sana watu kuogopa kutafuta fursa.

video zinazo rushwa za watu wanao dai wana nyanyaswa pia ni chanzo kikubwa cha watu kuogopa safari.

hata humu tu ukisema habari sijui za uarabuni lazima zipatikane feedback mbaya...!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…