Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Mimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.

Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1😛assport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo


Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji

NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
Watanzania atupendani n ni wabinafsi sana good bro
 
Mimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.

Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1😛assport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo


Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji

NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
Ere
 
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.

Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri.

View attachment 3000675

Kipindi chote nilicho fanya kazi kwenye makampuni ya hapa nyumbani hali yangu KIUCHUMI ilikuwa mbaya sana nafanya kazi lakini pesa haikai kabisa. niliandika Uzi Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

Niliwahi kuomba kazi ya taaluma yangu niliyo somea kwenye ajira zinazo tangazwaga na serikali Lakini sikuwahi kubahatika kwakifupi nimetafuta ajira serikalini zaidi ya miaka 15 bila mafanikio.

Nakumbuka nimepata marafiki ambao wamekuwa kama ndugu kupitia andiko langu la kusaidia walio kwama kwenye tovuti ya maombi ya ajira za afya na ualimu Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira bila mafanikio ndipo niliamua kuanza kukusanya taarifa juu ya nchi walau zenye fursa za ajira zenye malipo walau mazuri. kwa msisitizo zaidi niliandikaga bandiko hili

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Kupitia bandiko hilo nilipata mwanga wa jinsi ya kuvuka mipaka ya nchi yetu.

Vitu vya kuzingatia kwa mnao taka kusafiri kwa minajiri ya kutafuta maisha nje ya mipaka yetu.

1. Passport hii ni nyezo muhimu sana kwa kila Raia uwe unatafuta ajira au hutafuti kwa kifupi passport ni kitambulisho muhimu sana ambacho unatakiwa kuwa nacho kama ilivyo nida...!

2. AGENTS kwa nchi zetu za kiafrika kama huna pesa au hutoki kwenye familia zinazo jimudu kifedha. huwezi kwenda nje bila kuwa na agent atakae fanikisha safari yako. hapa kwenye ma_agent kuna changa moto kubwa sana. kwa kifupi umakini una hitajika sana kwani baadhi ya maargent sio waaminifu wanaweza wakakupiga pesa na usisafiri au ukasafiri ila ukakutana na hali tofauti huko uendako tofauti na ulivyo ambiwa.

3. AFYA. ikiwa una lengo la kwenda nje hakikisha Afya yako unailinda kwa hali na mali kwani mchi za wenzetu ukiwa na maradhi haswa ya kuambukiza hutopata nafasi ya Visa. hivyo ichunge sana Afya yako kabla hujapewa appointment ya kuhojiwa kuhusu Maombi yako ya VISA nilazima upeleke fomu maalum iliyo jazwa na doctor kuhusu afya yako. na hospital watakazo kwambia uende ni zile genuinely ambazo huwezi kuhonga ili wapindishe taarifa.

View attachment 2990467

4. KUSHITAKIWA/UHARIFU unatakiwa pia ujiepushe sana na uaharifu wowote utakaosababisha utiwe hatiani. kwani ni lazima pia itahitajika upeleke police clearance forms. Hayo ni kwa uchache ninazo connection za ajira kwa nchi za QATAR, DUBAI, UARABUNI yote kwa ujumla.

Unachotakiwa kuwa nacho ni passport na ujuzi wa ziada kama Ufundi, udereva ama fani za ualimu, upishi, udokta, uuguzi n.k Nitakuwa naweka hapa fursa hizo kila zitakapo jitokeza.
5. Unaweza ukajisafirisha mwenyewe kwa visiting visa ya miezi miwili ambayo ndani ya hiyo miezi 2 ukikomaa huwezi kukosa kazi.

View attachment 2990465

N.B: Connection hii siitoi bure, gharama za awali kabisa za kupewa maelekezo ni shilingi 50,000/=

Nafanya hivyo kutokana na kuwa kuna watu ambao awapo seriously kwenye maswala ya msingi. hivyo kama mtu aki weza kulipia nitamconsider kuwa yupo seriously na nitamuongeza kwenye group la Whatsapp kwa ajili ya update ya hizo nafasi.

Mimi mwenyewe nilihangaika kwa gharama kubwa sana hadi kupata hizi connection.

N. B

pesa kwangu sio Tatizo ila nimeweka kiwango hicho ili kupunguza idadi ya watu... maana mimi ni mtu ambae nina kazi zangu nyingine hapa hapa dar es salaam. hivyo siwezi kutoa muda wangu bure 🤣🤣🤣

Moja ya kazi zangu ni... Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

hivyo sitegemei consultation fee iniweke mjini... kwenye maisha ili utoboe lazima u take risks.

View attachment 2990466

Kwa alie seriously tu unaweza kunipata kwa namba +971581480619

Whatsapp yangu ya Namba yangu ya Dubai umeharibika hivyo napatikana kwa Whatsapp ya namba yangu ya TanzaniA ambayo ni +255759170794​
Wewe ni tapeli mkubwa pumbavu huna akili peleka ukoo wako wakafanye kazi sio kuja kutapeli hapa
 
Mimi ninaitoa bure kabisa ukiamua kusaidia watu we wasaidie tu hapo kwa ulichokiandika hakuna tofauti na upigaji.

Muhimu ili usaidiwe ni lazima uwe na
1😛assport
2:cheti cha afya ambacho mnazi mmoja wanatoa kwa 30k unakipata ukiwa fresh safari ipo


Kuhusu usafiri na visa hizo ni gharama za tajiri ambae anakuhitaji

NB: mshahara wako wa kwanza ukianza kazi unakuwa wa agent kama fee kwa sasa zipo nafasi kwa wafanya kazi wa kazi za ndani tu na mikataba ni kuanzia 6 up to 12 month's
Hamna za wanaume kwa sasa?
 
Hawa walitoa kaz indeed kumbe n matapel nadhan ni wa naija nkaenda nao mpaka ilpofka muda wa kulipia visa ndio nkajua hawa si wema nkaanza kuchimba iyo kampun kumbe wamecopy kila kitu kutoka kampuni inayoitwa MEG energy majina ya ma hr na madairector yote wameweka apo kwenye web yao mpka ukagundue hawa n majiz inahitaj akil kubwa sana mana mpka contact na apointment ya ubaloz walinipa ila lilipofika swala la malipo karbu dola 1780 ndio nkajua watanzania ua tunaponzwa na kutokua na taarfa zaid
View attachment 2922387
dah noma
 
 
kwa mwenye uhitaji nitamsaidia bila kujali kuwa anacho au hana... kikubwa awe na uhitaji kweli... hiyo ni namba tu...!​
Nahitaji bro nisaidie
shukrani sana... wachache ni waelewa ila... kutokana na mtandao kuingiliwa na majangili yeyote anaonekana ni wale wale tu🤣🤣🤣​
Msaada bro Hali ngumu
 
Back
Top Bottom