Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Watanzania atupendani n ni wabinafsi sana good bro
 
Mpaka saivi ushashoot Movie ngapi za Kirumi na Mastar wakubwa aina ya Sean Combs ?
 
Ere
 
Wewe ni tapeli mkubwa pumbavu huna akili peleka ukoo wako wakafanye kazi sio kuja kutapeli hapa
 
Hamna za wanaume kwa sasa?
 
dah noma
 
 
kwa mwenye uhitaji nitamsaidia bila kujali kuwa anacho au hana... kikubwa awe na uhitaji kweli... hiyo ni namba tu...!​
Nahitaji bro nisaidie
shukrani sana... wachache ni waelewa ila... kutokana na mtandao kuingiliwa na majangili yeyote anaonekana ni wale wale tu🤣🤣🤣​
Msaada bro Hali ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…