Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Dec 14, 2021 #41 chef detat said: unajua kuna watu huitwa butler na kazi yao ni kusimama pembeni ya meza wakati wa kula na kumimina vinywaji ? wamesomea kabisa yani mtu unasimama kama masaa mawili kusubiri wenzio wamalize kula au kunywa Click to expand... Huyo anaitwa Butler, je na yule mbemba pombe barabarani kwa ajili ya mlevi anaitwaje??, je naye kasomea kwa kazi hiyo??!
chef detat said: unajua kuna watu huitwa butler na kazi yao ni kusimama pembeni ya meza wakati wa kula na kumimina vinywaji ? wamesomea kabisa yani mtu unasimama kama masaa mawili kusubiri wenzio wamalize kula au kunywa Click to expand... Huyo anaitwa Butler, je na yule mbemba pombe barabarani kwa ajili ya mlevi anaitwaje??, je naye kasomea kwa kazi hiyo??!