Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Dec 11, 2024 #61 Mohamed Said said: Hakika lengo langu lilikuwa kuirejesha heshima ya Uislam. Nilisikitika kuona historia ya uhuru wa Tanganyika imeandikwa lakini imekosewa Click to expand... Kinyungu Ngongo leo mmepata lengo la mzee MS
Mohamed Said said: Hakika lengo langu lilikuwa kuirejesha heshima ya Uislam. Nilisikitika kuona historia ya uhuru wa Tanganyika imeandikwa lakini imekosewa Click to expand... Kinyungu Ngongo leo mmepata lengo la mzee MS
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Dec 11, 2024 #62 Inside10 said: Kinyungu Ngongo leo mmepata lengo la mzee MS Click to expand... Mzee ana hila sana huyu. Sema hawezi fanikiwa
Inside10 said: Kinyungu Ngongo leo mmepata lengo la mzee MS Click to expand... Mzee ana hila sana huyu. Sema hawezi fanikiwa
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Dec 11, 2024 #63 Kinyungu said: Mzee ana hila sana huyu. Sema hawezi fanikiwa Click to expand... Kafanikiwa kiasj kikubwa ukipita vibarazani na kwenye viambaza huku pwani wanaamininni waislamu tu ndio waliopigania uhuru... INa wakristo wao wakituita kanisa hatukushiriki.
Kinyungu said: Mzee ana hila sana huyu. Sema hawezi fanikiwa Click to expand... Kafanikiwa kiasj kikubwa ukipita vibarazani na kwenye viambaza huku pwani wanaamininni waislamu tu ndio waliopigania uhuru... INa wakristo wao wakituita kanisa hatukushiriki.