kuwa mpole dogo...inama ili sindano unayodungwa ikuingie vizuri.huu Uzi ufutiliwe mbali....unadanganya uma
hizi ni athari za unga... mbona hujaekwa kizimbani?kuwa mpole dogo...inama ili sindano unayodungwa ikuingie vizuri.
Duh! Kumbe mathare kuna ofisi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Tihihihi... Nimecheka peke yangu ofisini. Ati 1st in East Africa????... Looo!!!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]hizi ni athari za unga... mbona hujaekwa kizimbani?
kuwa mpole dogo...inama ili sindano unayodungwa ikuingie vizuri.
Good comment. Katika kitu ambacho huwa sikielew humu jf ni pale ishu inayohusu maendeleo inapokuwa posted from one of the two countries (Tz na Kenya) unaanza kuibuka ushabiki usiokuwa na maana. Ivi mTz akienda Kenya si atafaidi matunda ya hizo interchange kwa kupungiziwa folen likewise mkenya akija Tz. Sasa hapo tunachobishana ni nn? Poor AfricanDar inaendelea kwa kasi sana. Which is a good thing, lakini Nairobi imeendelea zaidi. Mnachopanga kunjenga kishanjegwa Nairobi. Lakini its good to see you guys are doing something, unlike Kampala
Wakenyan, hebu tuonyesheni 3 levels interchange all standing above the ground, sio mnatuwekea underground bypass na 2 level flyover mnasema ni 3 level flyover.
Duh! Kumbe mathare kuna ofisi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Manzese huwezi fananisha na mathare ,mathare nyumba za matofali nizakutafutaTihahahhaaaaa..... Ulidhani ni kama Manzese penye unakunyaa kwa nyumba unamoishi
Wakenyan, hebu tuonyesheni 3 levels interchange all standing above the ground, sio mnatuwekea underground bypass na 2 level flyover mnasema ni 3 level flyover.
Haha, kubalini tuu, in East Africa 3 level above the ground flyover ya kwanza itakuwa Tanzanian let's be honest about that. Picha ya juu uliyo weka sio Kenya wala sio Mombasa, Changamwe haita kuwa na 3 level above the ground, kama unaushahidi leta hapa uonyeshe dunia.Changamweni Govi. Changamwe hiyo
View attachment 473821
Now under construction
View attachment 473822
Oh yes there's 3 level above the ground flyover, we just showed you one. Zingine zinaenda mpaka 5There's nothing like Three level Flyover. Please learn the basics before you try engaging in argument.
There is nothing coming up in Ubungo my friend. You will get the next 5 presidents and still that tbing will not have been built