Bensoy
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 576
- 622
nairob ilichoizd dsm ni kutangulia tu but dsm inakuja juu kwa speed kubwa ambayo in the next 5 years wakenya mtakuwa mnakuja dsm kutalii. good example ni airport inayojengwa dsm ambayo itakua far compared na kenyatta. so kenyan tafuteni hela hamtakua mnaenda UK au USA tena kutalii tunawarahisishia mtakuja bongo apa.