Construction of East Africa's first 3-level flyover to begin next month in Dar

Construction of East Africa's first 3-level flyover to begin next month in Dar

Status
Not open for further replies.
Tihihihi... Nimecheka peke yangu ofisini. Ati 1st in East Africa????... Looo!!!
Duh! Kumbe mathare kuna ofisi [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Wakenyan, hebu tuonyesheni 3 levels interchange all standing above the ground, sio mnatuwekea underground bypass na 2 level flyover mnasema ni 3 level flyover.
 
Taa washaweka barabarani au wanakimbilia flyover halafu wanasahau taa?
 
Dar inaendelea kwa kasi sana. Which is a good thing, lakini Nairobi imeendelea zaidi. Mnachopanga kunjenga kishanjegwa Nairobi. Lakini its good to see you guys are doing something, unlike Kampala
Good comment. Katika kitu ambacho huwa sikielew humu jf ni pale ishu inayohusu maendeleo inapokuwa posted from one of the two countries (Tz na Kenya) unaanza kuibuka ushabiki usiokuwa na maana. Ivi mTz akienda Kenya si atafaidi matunda ya hizo interchange kwa kupungiziwa folen likewise mkenya akija Tz. Sasa hapo tunachobishana ni nn? Poor African
 
designer ovyo kabisa.. hajatumia akili zake zote kutatua tatizo LA foleni ubungo
 
Wakenyan, hebu tuonyesheni 3 levels interchange all standing above the ground, sio mnatuwekea underground bypass na 2 level flyover mnasema ni 3 level flyover.

Changamweni Govi. Changamwe hiyo
Cq4z_aKWcAAhWAg.jpg

Now under construction
work.jpg
 
Tihahahhaaaaa..... Ulidhani ni kama Manzese penye unakunyaa kwa nyumba unamoishi
Manzese huwezi fananisha na mathare ,mathare nyumba za matofali nizakutafuta
 
Wakenyan, hebu tuonyesheni 3 levels interchange all standing above the ground, sio mnatuwekea underground bypass na 2 level flyover mnasema ni 3 level flyover.

There's nothing like Three level Flyover. Please learn the basics before you try engaging in argument.
 
Changamweni Govi. Changamwe hiyo
View attachment 473821
Now under construction
View attachment 473822
Haha, kubalini tuu, in East Africa 3 level above the ground flyover ya kwanza itakuwa Tanzanian let's be honest about that. Picha ya juu uliyo weka sio Kenya wala sio Mombasa, Changamwe haita kuwa na 3 level above the ground, kama unaushahidi leta hapa uonyeshe dunia.
 
There's nothing like Three level Flyover. Please learn the basics before you try engaging in argument.
Oh yes there's 3 level above the ground flyover, we just showed you one. Zingine zinaenda mpaka 5
 
Three level interchanges, (in kenyan standards, and according to Kenyans)[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
tapatalk_1487869311263.jpeg

tapatalk_1487869301631.png
 
There is nothing coming up in Ubungo my friend. You will get the next 5 presidents and still that tbing will not have been built

Bwa mdogo, next five president your envy towards us will be 50 times the envy you currently posses.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom