Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Joto la jiwe kuna wadau wanaomba link ya hii thread kule dar vs nai najaribu inashindikana if possible watag
Mimi sio mtaalam kaka ngoja Anael, Geza ulole au ichobyo wakija tuwaombe wafanye hivyo, au yeyote yule mwenye kufanya hivyo tunaomba atusaidie kuna wadau huko wanataka kuchangia hii thread.
 
tusan tusaidie kuipeleka hii thread kula Dar vs Nairobi tafadhali
 
Kenya yangu aibuuuuu,hapa nakubaliana na wabongo kibasaaaaaa hapa hatuna kiongozi...duh tumechemshaaaa kweliπŸ˜‘πŸ™
 
safi sana umeongea point nzuri sana
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
tuoneshe au unataka kuoneshwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
Kwanza barabara ya BRT chini inatangulia zege(concrete) then unaweza weka juu rami au ukaacha. Concrete inatumika kwasababu mabasi ni mazito.
 
Kenya yangu aibuuuuu,hapa nakubaliana na wabongo kibasaaaaaa hapa hatuna kiongozi...duh tumechemshaaaa kweliπŸ˜‘πŸ™
Kenya mpo wabovu sana katika planning stage, huwa miradi yenu mingi sana hamuipangi vizuri, mnakimbilia kwenye implementation stage, matokeo yake miradi yenu inakuwa ya hovyo sana, au inatumia pesa nyingi sana, au sio first priority kwa wakati huo, hivi tatizo ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…