Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipeleka watu kwenda kujifunza South Amerika baada ya kuona hii ya Tanzania inamapungufu, hicho ndicho walichofundishwa kutoka Bogotta, Collombia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahhaah hii ya Kenya ni Brain Really Tired sio BRT ninayoifahamu
This not how a BRT is built. You cant subdivide a road then label it "BRT". They should visit Dar and see the company incharge of brt, the infrastructure built, the buses procured and the business model behind it.
This is Just shit, unplanned reactionary nonesense that will fail terribly.
Kwa nchi kama Kenya hapo ni kutafuta ajali tu zisizo za lazima ,assume kuna foleni matatu sizitapigana vikumbo kuingia kwenye hiyo "only brt pink colour lane"Tembea uone
Nimeona similar set up in Malaysia, Thailand, no dedicated infrastructure built for these buses, only line enough, what needed is discipline of users
Because i have said the truth or what ? Kipi hujaelewa ? Swala la concrete base na BRT ?Are you even listening to yourself? Avoid talking about things you don't understand.
Nahilo neno brt only unalizungumziaje?Heading ya hii thread irekebishwe
Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa <-----WRONG
Thika Highway marking for Bus special lane has started <---- CORRECT
[emoji1] [emoji1] [emoji1]... Nime nunua chalk, nawahi home nika chole BRT yangu.. nitatuma picha baadae humuAs a quantity surveyor, I'm very shocked that in Kenya the BRT project only costs paints that read "BRT only".
Mi Niko kigoma SAA hizi ni full kuchorachora brt only lane huku na rangi ya pink mpaka kieleweke[emoji1] [emoji1] [emoji1]... Nime nunua chalk, nawahi home nika chole BRT yangu.. nitatuma picha baadae humu
Siyo Mwasiti tu, ata El metako na pimbi mzee, wana chungulia huku wakiwa na mauchungu [emoji1]Mwasiti mbona simuoni ??
Hizo safari za kuja Dar, then to Bogota plus (Red/Pink paint + brushes) utaambiwa ni Usd 20m [emoji1]Walipeleka watu kwenda kujifunza South Amerika baada ya kuona hii ya Tanzania inamapungufu, hicho ndicho walichofundishwa kutoka Bogotta, Collombia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya ranked as 'failed state'
Ndio maana nikasema discpline zinahitajika, Malaysia ukikamatwa unaendesha ndani ya BRT faini ni kubwa sana, inaweza ikala nusu mshaharaKwa nchi kama Kenya hapo ni kutafuta ajali tu zisizo za lazima ,assume kuna foleni matatu sizitapigana vikumbo kuingia kwenye hiyo "only brt pink colour lane"