ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
hvi bro station inaweza kaa hapa hebu tujaribuni kua serious😀😀😀😀😀Labda huko pembeni kwenye majani ndio wataweka stand, alafu labda waweke uzio kutenganisha iyo brt na main road. Kazi si haba hapo.
Ni wazi kwamba ni wazo limekuja too late, but anything is possible. At least watakuwa na brt.
hebu take a look