Contacts Za Miss World Hizi Hapa

Contacts Za Miss World Hizi Hapa

acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi

Itakua vizuri sana mana haki itakua imetendeka uso umemshuka kadaganywa kwa ajili ya rushwa na kufoji vyeti akatangazwa mshindi wakaachwa wenye vigezo
 
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi

Ona sasa povu zimeshaanza kumwagika nani kawaambia mfanye usanii kwenye jambo muhimu km lile,,,,!
 
Daaah kuna chuo fulani ndo imekuwa kama upigaji kula tena wa chama kimoja watu wanatuma complaints acha. Hakika watanzania wamechoka yaani hawarudi nyuma. Huyu dada kazi anayo mwaka huu atarudi ulaya tu. Akafie hukohuko..na ikiwa hivi baba yake apati ubunge mwakani ...na mama yake nasikia kumbe naye diwani wa temeke.

Nao watakuwa fake
 
Aisee sitti ana moyo mie hata nisingesibiri ivo maana subira sina
Watu wameona hapa nchini rushwa wamefata makao makuu kudanganywa zamani uko sahivi mitandao ya kijamii tele inabidi utoe uongo ulioenda shule tena ya maana sio kayumba pole sitti mpenzi
 
Back
Top Bottom